Hivi hiyo kazi aliyokuwa anaifanya (ukadiriaji majengo) na hiyo mpya ya huduma za jamii mbona naona kama hazifanani? Au ndo kusema atajifunzia huko huko ofisini? Labda mimi ndo nitakuwa sielewi hapo!
Hongera zake mama!
Unajua umri wake??
mitanganyika ina wivu wa kike
mitanganyika ina wivu wa kike
Ushirikiano gani? FafanuaTumpe ushirikiano
Kweli ujinga ni sawa na ukimwi, ukiupata ujue maisha yako kwishney! House girl katoka wapi kwenye mada hii?
Naona akina mwanahamisi, mwanahawa, mwajuma, mwadawa, siajabu, sikujua......ndo wakati wao huu.