Erickdobey
Member
- Dec 1, 2015
- 62
- 142
Aliyoyaandika hayo analenga yale yale anayotaka yatokee tangu mwanzo kwa chuki zake alizozijaza rohoni pake..
Hakuna jipya.. na hajatumia akili kabisa na kuandika mgazeti wote huo hana ujanja.. angemezea mengine.. ila hawezi sababu hana lingine zaidi ya chuki za wivu.. ameona njia za kumtukana Mkulu na viongozi wengine hazimpi kiki.. wafuasi wake walianza kumdharau.. zimeshindikana sasa anafikiri akili hiyo ya kuandika hayo itapenya.. ni kama anaomba msamaha kwa Mkulu kwa kutumia ulimi ila rohoni kajaa majanga matupu ya chuki za kibinafsi juu ya maisha yake yalivyompiga chini.
Maisha yake aliyokuwa nayo miaka miwili mitatu iliyopita kamwe hakutegemea kuwa alipo leo.. bora tu alie aondoe uchungu la sivyo atazidi kuwashwa washwa.. na ajipige vibao vya usoni..
Mwambieni ujanja wake aliotumia kuandika hayo yote haupenyi ng'ooo
Pole kwa upinzani kwa kuzidi kuonyesha hamna jipya bali mnaweweseka sana sana kwa kuisoma namba.. na kuwa na wasemaji wenu anyau kabisa
Kawa karibu na wafuasi wa Chadema wa USA wamepiga pesa mnazochangia za matibabu jata kuwalipia wengine likizo kwenda Tanzania na kuchungulia Nairobi kwa masaa kupiga picha za kuwaonyesha... nyuma ya pazia wanawacheka.. endeleeni kuwapa pesa watanue bora mngetuma michango kwa mkewe moja kwa koja hata ndugu wengine..
Umeandika upumbavu tu