Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

Hii habari ni ya kitambo sana na wazazi Prof ni wa Kagera ila yeye kakaa sana Rwanda bila shaka alishapewa na urai wa uko.
 
Tanzania kuna wanyarwanda wengi sana na wana vyeo vikubwa serikalini, baadhi in wale walioingia 1959 na walipewa uraia sema wakichoka wanaamua kuukana utanzania na kurudi Rwanda, binafsi nawajua wengi tu waliorudi kwao na kupewa position kubwa serikalini.

Kama umewajua umesaidia nin sasa au jus Gahawa tu kupoteza mda na unaclassfy vp kua huyu n huyu wale wanyakyusa kule mbeya au mtwara wale ndugu zetu au wachaga flan kule tuwakane kisa wanatokea mipakani.??
 
Kiinteligensia waweza kuta alikuwa mnyarwanda then akapandikizwa Tz kwa kazi maalumu na alipoikamilisha akachukuliwa kinamna namna. Na sisi tulivyo maji vichwani tunajisifu pasi na kuangalia kwa jicho la tatu.

Nahisi vyuo vyetu vikuu vina mapandikizi mengi sana ya nje.


Hatushtuki



Usingizi wa pono
Naunga mkono hoja
 
Duuuh aisee wewe kichwani mwako kuna kitu kinaitwa ebiinzi kabisa...Kaa kimya kwenye mambo ambayo sio lazma uchangie
Biinzi ni makamasi. Kama kweli kichwa changu kina makamasi naomba ukosoe kisomi kwa faida ya wenzetu. Watusi wanatokea wapi kihistoria? wewe utakuwa Mhaya punguani asiyujua chochote kazi kuvaa miwani na kufunga suruali tumboni while having nothing on your upstair and on your pocket.
 
According to the Hamitic theory, this "Hamitic race" was superior to or more advanced than Negroid populations of Sub-Saharan Africa. In its most extreme form, in the writings of C. G. Seligman, this theory asserted that virtually all significant achievements in African history were the work of "Hamites" who had migrated into central Africa as pastoralists, bringing new customs, languages, technologies and administrative skills with them. In the early 20th century, theoretical models of Hamitic languages and of Hamitic races were intertwined.[4]
Source: Wikipedia
Thank you
 
DH4u_JeXsAE6HtK.jpg





Prof. Silas Lwakabamba wa Rwanda alizaliwa & kusoma Tanzania.
Alifundisha Chuo Kikuu Udsm.
Hapa anaapa kuwa Waziri wa Elimu Rwanda

Hivi sisi tunaweza kumpa kazi ya uwaziri Mtanzania aliyezaliwa, kukulia na kufanya kazi Oman au Israel?
 
ndo yale yale nikisema sizonje s mtanzania mtaniona fala hamjui kuwa ni pandikizi la kagame
 
ndo yale yale nikisema sizonje s mtanzania mtaniona fala hamjui kuwa ni pandikizi la kagame
 
Back
Top Bottom