Rais Felix Tshisekedi ni mpenda kiki tu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
IMG_0967.png
Felix tshisekedi anaenda kutangaza kuondoka kwa monusco ndani ya nchi ya kongo kwenye mkutano wa umoja wa mataifa.

Ili ulimwengu umuone shujaa wa hatari.

Wakati wiki kazaa nyuma ameua raia wa goma ambao walikuwa wanaandama kuomba monusco watoke katika ardhi ya kongo.

Wanajeshi wake wameenda kuua raia kwa kuwamimina risasi vijana wapatao 165

Rais felix kipindi anaingia madarakani kakuta kongo ina ndege 4 na aka promis kuwa ataboresha company hiyo kwa kuwaongezea ndege leo kongo kuna ndege moja na tena yenyewe imeanza kuaribika na hakuna ndege ambayo imenunuliwa.

Felix kipindi anaingia madarakani kakuta dollars 1 ni sawa na 1500 fc congolais.

Leo dollars moja ni sawa 2400 fc congolais

Felix kipindi anaingia madarakani ali promis kwa miaka 5 atajenga hospital 500 na kila.

Kujenga shule 600 leo wakongo wenyewe tunajua

Felix ali promis umeme mpaka vijijini wenyewe mnajua

Felix ali promis kufanya kongo kuwa ujereman ya afrika

Felix ali promis elimu bure na matibabu bure

Felix ali promis kuanza kulipa wa mama wanao zaa kila mama dollar 50

Felix ali promis kujenga universities 10 kubwa ndani ya nchi

Felix ali promis kuleta usafiri wa train kivu mashariki

Ila alicho kiweza ni kusafiri

Mwisho wenyewe mnajua kwasasa yeyote anaye kumbusha ahadi hizo za rais anageuka kuwa mgeni sio mtoto wa nchi
 
Nyie Mbadilike mtaisha mtauana sana kunufaisha wazungu mnapaka mapodaa tuu hamstuki...
hapo Kinashasa mtu anatumia dola laki 1 kwa siku unashangaa ukienda pale Gombe utadhani sio Congo.

Kwanza shukuruni Tshekedi kapambana sana Ulitegemea afanye nini Bunge lote lilikua la Kabila..Mawaziri walikua wanateuliwa na kabila ...Yeye kwa miaka 4 angefanya nini?

Mbona usiseme Kabila kakaa miaka 18 kafanya ujinga tu hamna kitu
 
Felix tshisekedi anaenda kutangaza kuondoka kwa monusco ndani ya nchi ya kongo kwenye mkutano wa umoja wa mataifa.

Ili ulimwengu umuone shujaa wa hatari.

Wakati wiki kazaa nyuma ameua raia wa goma ambao walikuwa wanaandama kuomba monusco watoke katika ardhi ya kongo.

Wanajeshi wake wameenda kuua raia kwa kuwamimina risasi vijana wapatao 165

Rais felix kipindi anaingia madarakani kakuta kongo ina ndege 4 na aka promis kuwa ataboresha company hiyo kwa kuwaongezea ndege leo kongo kuna ndege moja na tena yenyewe imeanza kuaribika na hakuna ndege ambayo imenunuliwa.

Felix kipindi anaingia madarakani kakuta dollars 1 ni sawa na 1500 fc congolais.

Leo dollars moja ni sawa 2400 fc congolais

Felix kipindi anaingia madarakani ali promis kwa miaka 5 atajenga hospital 500 na kila.

Kujenga shule 600 leo wakongo wenyewe tunajua

Felix ali promis umeme mpaka vijijini wenyewe mnajua

Felix ali promis kufanya kongo kuwa ujereman ya afrika

Felix ali promis elimu bure na matibabu bure

Felix ali promis kuanza kulipa wa mama wanao zaa kila mama dollar 50

Felix ali promis kujenga universities 10 kubwa ndani ya nchi

Felix ali promis kuleta usafiri wa train kivu mashariki

Ila alicho kiweza ni kusafiri

Mwisho wenyewe mnajua kwasasa yeyote anaye kumbusha ahadi hizo za rais anageuka kuwa mgeni sio mtoto wa nchi
Felix anatumia hoja ya kuwaondoa Monusco kisiasa ili avune kura uchaguzi ujao.

Ukweli ni kuwa Drc bado inahitaji mno huduma za Monusco pamoja na madhaifu yake.

Mtu Chake zitto junior
 
Mkuu kwani MONUSCO huwa wanafanya nini zaidi ya kupiga picha na magari yao na helicopter nyeupe. Hawana engagement yoyote na waasi sanasana wakiondoka mashambulizi yatazidishwa ili kuleta justification ya wao kuwepo.

Sina imani na Katumbi hata kidogo. Felix ameniangusha nilikuwa na matarajio makubwa kwake ila Congo ni nchi ngumu sana kuongoza hili tulizingatie.
Unadhani bila Monusco serikali ya Drc ina uwezo wa kukabili hali ya ukosefu wa usalama hasa huko Kivu(Kusini na kaskazini) na Ituri?
 
Mkuu kwani MONUSCO huwa wanafanya nini zaidi ya kupiga picha na magari yao na helicopter nyeupe. Hawana engagement yoyote na waasi sanasana wakiondoka mashambulizi yatazidishwa ili kuleta justification ya wao kuwepo.

Sina imani na Katumbi hata kidogo. Felix ameniangusha nilikuwa na matarajio makubwa kwake ila Congo ni nchi ngumu sana kuongoza hili tulizingatie.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom