The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Habari za leo wana jukwaa,
Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4.
Pamoja na mambo mengine atatembelea bandari ya Dar na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.
Ikumbukwe DRC ni tajiri kwa rasilimali na bandari ya Dar ndiyo lango lao kuu la kupitishia mizigo yao. 👇