Rais anayewajali wote sio wasanii tu!!

mutuz unajua ni nani alimmwagia tindikali huyo mwandishi,kama ulikuwa ujui ni walewale majambazi wa ikulu waliomteka dr ulimboka,mutuz nazani ushafanya mengi ya kupewa angalau ukuu wa wilaya,tulizana
 
Hivi hakuna post yeyote tu, mzee akuweke maana hili la ubunge labda wa kuteuliwa na umri unaenda huo sio vizuri watoto kuona baba ana kiss ass ili apate ulaji. Haya ni mawazo tu
 
Bila shaka kama viti maalum vya wanaume vingekuwepo huye Le Mutuz angeombewa apate!

Vipo Mkuu kuna mmoja anaweweseka Mtwara huko sasa hivi amepewa kiti maalumu na JK,nae Willy atapewa ikisalia mwaka mmoja,maana anajituma kweli na haamini kama kuna maisha nje ya siasa!!yeye anakomaa na siasa tu labda anadhani nae ataingia kwenye pensheni kama ya Mzee wake!
 
Hayo yametinga THE HUE, isitoshe mlokokuwa mnajipeleka kuchekacheka wameanza kuwageuzia kibao kwa kuanika picha hizo hapo sasa mambo wazi, Le Mutus Marekani wamekukirimu miaka yote leo kubembeleza urafiki kwa kaisari wawaona wabaya.

William ulipokuwa NY ulikuwa kundi la Nape na kuona ubaya kundi la mafisadi, hivi ni nini kilichokubadilisha? Hata babako na mamako wa Kambo wako upande wa Nape, wewe peke yako umekumbatia wote, ni lini ulitawazwa kuwa mshiriki wa makundi yote? Unakumbu mkutano wa Dodoma CCM ulivyokuwa unapasha habari hapa JF na mambo yalipokuwa kinyume ukateleza kwa miezi ukifikiria tumesahau.

- Wamarekani hawajui maana ya human rights wangekuwa wanjua basi George Bush angekwua jela now, kuna mnaofikiri kwamba mkisema wamarekani basi tutatishika hapana, nilikuwa US Bush alipoiba urais kule Florida so relax bro na haya maneno ya US.

- Sijawahi kupenda mafisadi, lakini naipenda CCM ndio maana hata nikiwa huko USA nikaanzisha Tawi la CCM New York City, sasa naomba uniambie ni wakati gani nilikuwa Chadema nilipokuwa New York naanzisha tawi la CCM au niliporudi bongo?

le mutuz
 
tumblr_m55946dW4p1rxh5j0o1_500.jpg
 
Hongera kwa ubunifu wa kujipendekeza mkuu, bahati mbaya sasa, hakuna wilaya mpya, wala mkuu wa wilaya aliyekufa ili ulipwe, dah! pole kwa kuujituma na kuambulia kupigiwa simu na riz1
 
aa.jpg

- Dr. JK ni Rais mwenye upendo kwa kila mwananchi, hata wale wanaomshambulia na magazeti yao kama Bwana Saeed Kubenea, alipomwagiwa Tindikali alikwenda kumuona Hospital na hata kumsaidia malipo ya matibabu yake India, ni Rais mkomavu sana wa Demokrasia, anayo mapungufu kama binadam lakini mnyonge mnyongeni na haki yake tumpe!!

le mutuz at williammalecela.blogspot.com

Jamaa yangu umerudi JF?
 
Tofauti yao ni kuwa Ndugu yetu Saeed Kubenea hupigania haki za wazalendo wanaodhulumiwa haki zao wakati mheshimiwa Kikwete analinda masilahi ya mafisadi wanaoihujumu na kuihujumu nchi na yeye mwenyewe akijumuika kujilimbikizia mali kwa njia mbalimbali.Hivyo kwenda hospitali kumjulia hali Kubenea wakati ni watumishi wa ikulu yake ndio wanaofanya haya.Mengine ya Dr Ulimboka kutekwa na watumishi wa ikulu na Daudi Mwangosi(yule mwandishi wa habari wa chanel ten) kuuliwa na polisi wa Kikwete.Rais ameonyesha unafiki wa hali ya juu sana.Lakini fainali yake 2015 tu.Mungu ainusuru Tanzania na watu wake ufike muda huo.
 
- Wamarekani hawajui maana ya human rights wangekuwa wanjua basi George Bush angekwua jela now, kuna mnaofikiri kwamba mkisema wamarekani basi tutatishika hapana, nilikuwa US Bush alipoiba urais kule Florida so relax bro na haya maneno ya US.

- Sijawahi kupenda mafisadi, lakini naipenda CCM ndio maana hata nikiwa huko USA nikaanzisha Tawi la CCM New York City, sasa naomba uniambie ni wakati gani nilikuwa Chadema nilipokuwa New York naanzisha tawi la CCM au niliporudi bongo?

le mutuz
ndio ulishakuwa Us so what kwa kuwa kwako US umesaidia nini taifa lako au sisi watanzania tujivunie nini kwa wewe kuwa US? kweli wewe ni poyoyo time will tell nini kitakukuta baada ya ccm kuanguka
 
aa.jpg

- Dr. JK ni Rais mwenye upendo kwa kila mwananchi, hata wale wanaomshambulia na magazeti yao kama Bwana Saeed Kubenea, alipomwagiwa Tindikali alikwenda kumuona Hospital na hata kumsaidia malipo ya matibabu yake India, ni Rais mkomavu sana wa Demokrasia, anayo mapungufu kama binadam lakini mnyonge mnyongeni na haki yake tumpe!!

le mutuz at williammalecela.blogspot.com
JK huwa ana tabia ya kuwapa shavu wale ma mama wanaompa labia....tena wengine huwa wanapewa hata ukuu wa wilaya....sasa wewe naona umeamua kumlamba JK kode ili upewe shav......maana unaonekana kutetea status quo bila hata logic.....I sometime ago advised you to atleast try to think beyond your obese stomach....
 
aa.jpg

- Dr. JK ni Rais mwenye upendo kwa kila mwananchi, hata wale wanaomshambulia na magazeti yao kama Bwana Saeed Kubenea, alipomwagiwa Tindikali alikwenda kumuona Hospital na hata kumsaidia malipo ya matibabu yake India, ni Rais mkomavu sana wa Demokrasia, anayo mapungufu kama binadam lakini mnyonge mnyongeni na haki yake tumpe!!

le mutuz at williammalecela.blogspot.com
JK huwa ana tabia ya kuwapa shavu wale ma mama wanaompa labia....tena wengine huwa wanapewa hata ukuu wa wilaya....sasa wewe naona umeamua kumlamba JK kode ili upewe shavu......maana unaonekana kutetea status quo bila hata logic.....Sijawahi hata siku moja kukusikia ukizungumzia double standards kwenye baadhi ya utendaji wa JK(jambo ambalo lipo sana...nawe hulioni kwakuwa uko desperate)...I sometime ago advised you to atleast try to think beyond your obese stomach....because it will differentite you from a retard........
 
aa.jpg

- Dr. JK ni Rais mwenye upendo kwa kila mwananchi, hata wale wanaomshambulia na magazeti yao kama Bwana Saeed Kubenea, alipomwagiwa Tindikali alikwenda kumuona Hospital na hata kumsaidia malipo ya matibabu yake India, ni Rais mkomavu sana wa Demokrasia, anayo mapungufu kama binadam lakini mnyonge mnyongeni na haki yake tumpe!!

le mutuz at williammalecela.blogspot.com

.......hata shetani ni mpole sana anapokuwa kwenye mission ya kuwaghilibu wahanga wake
 
Back
Top Bottom