Rais ajae na baraza lake la mawaziri

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
RAISI WILBROAD SLAA/JOHN MAGUFULI POMBE, WAZIRI MKUU MAGUFULI/SLAA, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LUKASI SELELII,WAZIRI WA MAMBOYA NJE PROFESA MWANDOSYA, WAZIRI WA SHERIA HARRISON MWAKYEMBE, WAZIRI WA UCHUMI ibrahimu lipumba, waziri wa madini ZITTO KABWE . waziri wa kazi john mnyika,............................................................endeleza
 
yaani hapo umechanganya pilau, komoni, mihogo, chimpumu na soda.
 
RAISI WILBROAD SLAA/JOHN MAGUFULI POMBE, WAZIRI MKUU MAGUFULI/SLAA, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LUKASI SELELII,WAZIRI WA MAMBOYA NJE PROFESA MWANDOSYA, WAZIRI WA SHERIA HARRISON MWAKYEMBE, WAZIRI WA UCHUMI ibrahimu lipumba, waziri wa madini ZITTO KABWE . waziri wa kazi john mnyika,............................................................endeleza

Rasmi naona umeshavaa mikoba ya sheikh yahya (RIP). Karibu
 
ni sawa kabisa kwa kuwa serikali moja haitawezekana tena, kutakuwa na mseto kama zanzibar. hii ni baada ya kutoshana nguvu kwenye uchanguzi wa 2015. 2015 kutakuwa halitete, Ombeni Mungu musiwe wajawazito!
 
kwa jinsi ulivyochanganya madawa hapa kama ni chakula kingekuwa sumu tayari!
 
ni ndoto njema. tz ina vichwa tatizo vinakosa nafasi. hilo baraza linawezekana utajuaje Mungu anaweza kuisaidia tz hawa magamba wazuri wakapata mwanga wakajiunga upinzani
 
hata kenya hakuna aliyeamini kanu ingeanguka. Mambo mengi yatajitokeza tz na like minded folks watajiunga pamoja watachukua nchi. watu wazalendo kama magufuli, sitta, mwakyembe, sendeka nk wanajua ndani ya ccm hawawezi ku realise their dream
 
Back
Top Bottom