Rainfred Masako na Yahya wa Star tv

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Imebidi niwambie ukweli acheni ushabiki mkiwa kazini. Jana mlionyesha wazi kuwa kuegemea upande wa CCM-nyinyi ni wanachama/wapenzi wa CCM.

Masako ulipoanza tu kutangaza matokeo ya awali wakati CDM wanashinda , ulisinyaa sana lugha ilikuwa ya CDM kura kadhaa, CCM kura kadhaa. Awamu ya pili yakaja matokeo ya CCM kushinda ukabadilisha lugha na kuwa ya ushabiki na kusema CCM yazoa kura, CCM yajizolea kura.

Na wa Mwanza hivyo hivyo alilaumu sana mitandao ya kijamii kuwa imetangaza CDM kuongoza, ukisema bado vituo vingi. Jinyonge basi !!!!
 
huyu mzee anazeeka vibaya, kila alipopewa matokeo ya ccm alikuwa anasisitiza rudiaaaa, huku amekenua meno nje, ni kweli ni mojawapo ya magugu yanayopaswa kungolewa katika filosofia mpya ya m4c
 
hata mie jana jioni Masako aliniboa nikaachana kabisa na ITV, alikuwa anaweka kibesi kabisa pale CCM wakiwa wapo juu, mtangazaji anatakiwa awe neutral sio mpaka watu wakasirike
 
Huyu mtu hana sifa ya utangazaji kwani alikuwa anainyesha waziwazi ni upande upi anapendelea. Kutumia neno ccm WAMEZOA kwa mkazo mkubwa zaidi na lugha yake ya mwili, vyote ni viashiria vya upendeleo. Kulikuwa na mtangazaji mwingine ambaye alikuwa anatangaza bila kuonyesha upendeleo na kuelezea vizuri mchskato wa matokeo.
.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
hata wapendelee Mungu hapendelea .
Akipiga tiki huwez badili matokeo
Peoplesssssssssssssssssssssssss!!!!
 
Hicho kizazi cha akina Masako ndiyo kipo kwenye kumalizia enzi jamani, wala msiogope!
Kuna vichwapanzi wachache kama akina Marin hassan ambao tutadeal nao hadi waeleweke!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
nina waswas na maneno yako...masaku alikuwa akisisitiza kuwa hicho kinachoonekana ktk matokea ni kutokana na sera za wagombea walizowaambia wananchi...hiyo ilikuwa haijalishi kama ni cdm au ccm wameshinda...muwe fair jamani....hata kama ni ccm kwani kuna ubaya? mbona sisi tuko cdm na siyo vibaya...ni mambo ya siasa tu...inabidi tuvumiliane...labda tbc ndio wamepoooooooooza!!!
 
mimi yahya namkubali sana...ni kati ya watangazaji wachache ambao wanairusha sana JF...tena hadharani...ni mtangazaji yupi uliyekwisha kumsikia akiwaambia wasikilizaji na watazamaji witumie JF kama source ya information? tuwe fair...nasisitiza tuwe fair!!! kama ukiona ameteleza basi ni ktk kujaribu kulinda maadili ya uandishi tu and nothing else!!! Big up Yahya for promoting JF openly!
Yahya anabanwa na bos wake so 2simlaumu sana jaman.
 
sisi hata kama hawataki kukututangazia matokeo tumisha yapata, waende zao huko na hizo redio za mbao!
 
nilitaka nikugongee li-thenks ila sijaliona lidude la kugonga...Thanks kwa kuwaelewesha wanaJF wenzetu...Yahya ndio mtangazaji pekee anayeirusha JF na kuitumia kupata maoni openly!!!! tuwe fair...me i like yahya kwa kweli....sina wasiwasi na loyality yake kwa cdm!! pamoja sana JF
yahaya ni chadema damu'yaani pale alikuwa na mahasira ya kuibiwa kura'hata masako ni chadema piga ua'ile kazi wanayofanya siyo nyepesi kama mnavyofikiri'jifunzeni kusoma watu
 
Nakubaliana na wewe kuwa huyu mzee hakuwa na upendeleo wa kiasi hicho. na hata hivyo masako asingeweza kubadilisha matokeo tusijiingize kwenye vitu ambavyo kwa sasa havitusaidii. Tumwombee kamanda wetu mpya Nassari aanze kutekeleza majukumu yake vema
 
Mi nasikitika na Mzombe Zanda ameshindwa kabisa kusoma magazeti leo asubuhi via RFA/Startv
 
Let's be fare to Masoko!! Masako alikuwa fare Mbaya!! Ila alikuwa na wasi kama final Matokeo Magamba Wangeshinda Ingeweza Mletea Shida!!
 
Imebidi niwambie ukweli acheni ushabiki mkiwa kazini. Jana mlionyesha wazi kuwa kuegemea upande wa CCM-nyinyi ni wanachama/wapenzi wa CCM.
Masako ulipoanza tu kutangaza matokeo ya awali wakati CDM wanashinda , ulisinyaa sana lugha ilikuwa ya CDM kura kadhaa, CCM kura kadhaa. Awamu ya pili yakaja matokeo ya CCM kushinda ukabadilisha lugha na kuwa ya ushabiki na kusema CCM yazoa kura, CCM yajizolea kura. Na wa Mwanza hivyo hivyo alilaumu sana mitandao ya kijamii kuwa imetangaza CDM kuongoza, ukisema bado vituo vingi. Jinyonge basi !!!!

Yap kabisa hata mie nilishangaa sana baada ya kuanza kusinyaa kwa Masako baada ya maokeo ya awali but baada ya CCm kuanza kupata kura nyingi tabasamu lake lilirudi mara moja
 
Kura za mwanzo CDM Masako alionesha uchangamfu sana hadi akasema watu wamechoka kudanganywa, vijana wanataka mabadiliko hawaogopi dola na vitisho. Ufoo Saro ndo alikuwa wa kwanza kutuma matokeo ambayo ccm inaongoza. Mzee Masako aliishiwa nguvu hadi nilikahisi atatiwa kibano

Haikupita muda akawa anatangaza matokeo amepanic, na kuchanganya matokeo. Nahisi simu ilipigwa studio, na mMsimamizi wa matangazo akawa amemuagiza afagilie ccm kuliko CDM

Kama uliangalia matangazo yake tangu awali jana utamtendea haki Masako
 
yahaya ni chadema damu'yaani pale alikuwa na mahasira ya kuibiwa kura'hata masako ni chadema piga ua'ile kazi wanayofanya siyo nyepesi kama mnavyofikiri'jifunzeni kusoma watu


Masako anampango wa kwenda kugombea songea/mbinga kwa tiketi ya CCM.....for the record....Yahaya sijuhi ila kwa kuwa umchemka kwa masako more likely na kwa Yahaya nina shaka
 
Back
Top Bottom