Mahebe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 319
- 63
Wana JF katika kuonyesha Dr.Magufuli na Odinga lao ni moja kwa taarifa nilizozinyaka na ni za uhakika ni kuwa Mh. Raila Odinga yupo Tanzania kumtembelea rafiki yake kipenzi Mh.Dr John P.Magufuli ambapo nimebahatika kupata baadhi ya picha kama mtakavyoziona hapo chini.Na inavyoonyesha ziara hii ni ya kificho kikubwa sana au ni umafia wa Dr.Magufuli kumkaribisha rafiki yake Raila ili wapange mikakati yao wanayojua wao wenyewe au wamepanga washerekee pamoja katika kuaga mwaka.
Wana JF naomba tizameni hizo picha wakati Raila Odinga akikaribishwa na mwenyeji wake Dr Magufuli katika uwanja wa ndege terminal one Dar es salaam siku mbili zilizopita.Nawasilisha!
Wana JF naomba tizameni hizo picha wakati Raila Odinga akikaribishwa na mwenyeji wake Dr Magufuli katika uwanja wa ndege terminal one Dar es salaam siku mbili zilizopita.Nawasilisha!