Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Sisi hatuhangaiki na mataifa ya kijinga.
 
Tarehe 22 nakualika ktk Simba day na jamaa zako watakuwepo wanakula raha tu ktk nchi ya asili na maziwa Onyongo Kahata, sasa angalia ndani ya mkapa stadium ninayochukua watu zaid ya elfu60 hapo ndio utajua kama Corona ipo au haipo na sio mara ya kwanza
Mkuu nitake radhi. Yaani mie wa kunipa uraia wa nchi yenye corona? Niombe radhi.

Kuhusu mwaliko, mie mwananchi siwezi kuja kuona shoo ya watu wanasubiri pension. Unadhani kwa nini mmealika Vital O no 6 badala ya Mesenger Ngozi no 1 au hata Musongati no 2?

Mnataka kuficha aibu ya wazee wenu

Screenshot_20200820-071703.jpeg
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Tarehe 22 nakukaribisha ktk Simba Day na jamaa zako watakuwepo wanakula raha tu ktk nchi ya asili na maziwa Onyongo Kahata, sasa angalia ndani ya mkapa stadium inayochukua watu zaid ya elfu60 hapo ndio utajua kama Corona ipo au haipo na sio mara ya kwanza we
 
Mkuu nitake radhi. Yaani mie wa kunipa uraia wa nchi yenye corona? Niombe radhi.

Kuhusu mwaliko, mie mwananchi siwezi kuja kuona shoo ya watu wanasubiri pension. Unadhani kwa nini mmealika Vital O no 6 badala ya Mesenger Ngozi no 1 au hata Musongati no 2?

Mnataka kuficha aibu ya wazee wenuView attachment 1542614
Nimeifuta mkuu ilikua ya huyo MK254 nikakozea
 
Tarehe 22 nakukaribisha ktk Simba day na jamaa zako watakuwepo wanakula raha tu ktk nchi ya asili na maziwa Onyongo Kahata, sasa angalia ndani ya mkapa stadium inayochukua watu zaid ya elfu60 hapo ndio utajua kama Corona ipo au haipo na sio mara ya kwanza we
Mkuu, kwa kuwa kenya inazuia watanzania kuingia kenya, soon tutafuta working permit za nyang'au waliopo nchini mwetu. Huyo babu lzm tumrejeshe Kenya, Kahata tutamfikiria
 
Wenyewe mlijichokea kwenye vita dhidi ya corona na kuachia raia wenu wahangaike wenyewe na kuifanya corona iwe kama ugonjwa wa aibu kwenu kwamba mtu akiumwa corona analazimika kuficha na kutesekea kwa ndani, halafu mnataka mlazimishe kuingia nchi za watu. Nilipenda sana alichofanya Museveni, kawawekea jeshi kabisa mpakani, huo ndio uongozi uliodhamiria kulinda watu wake.
Nyie na viongozi wenu ni malofa tu.
 
Mkuu, kwa kuwa kenya inazuia watanzania kuingia kenya, soon tutafuta working permit za nyang'au waliopo nchini mwetu. Huyo babu lzm tumrejeshe Kenya, Kahata tutamfikiria
Hii ilikua kweli inafaa ila tutaumiza timu zetu pia wakati madhara Kwa Kenya yakiwa machache mbona mkuu hawa kuna sehemu nyingi tu za kuwatekenya ambazo inaumia moja Kwa moja serikali yao, tusishughulike na mbwa mkuu tumminye mwenye mbwa.
 
Hii ilikua kweli inafaa ila tutaumiza timu zetu pia wakati madhara Kwa Kenya yakiwa machache mbona mkuu hawa kuna sehemu nyingi tu za kuwatekenya ambazo inaumia moja Kwa moja serikali yao, tusishughulike na mbwa mkuu tumminye mwenye mbwa
Ha ha ha tutawarudisha au tuwapandishie kodi
 
Hahaa hizi bifu za kijinga yaani india kwenye maambukizi lukuki hakuna karantini ila TZ ambapo hakuna cases za kovid19 tunakaa karantini haha chinekeee!
 
Back
Top Bottom