Hizi ni sababu moja wapo zinazowafanya wakumbatie uongozi wa nchi; wanajua siku wakitoka, kitakachowafuata kiko wazi kabsa...:A S angry:
Selemani said:Ethics za wanahabari zetu ziko wapi? Ukisoma unaona hii makala ni ya kichochezi.
Mwandishi anadrop names za Jakaya. Ridhiwani, Marmo bila kuweka vielelezo, sources, hata quotes za watendaji ili kutupa evidence sisi wasomaji. In this way, anybody with a big chunk of land, can be me or you we will stand to be accused.
Kitu kibaya zaidi, mwandishi was betting on ignorance of waTanzania wa kutoweza kuona mapungufu ya hii makala. And sadly great thinkers wa Jambo Forum fell into Mwandishi's trap. Hii makala is a prime example ya kutumia media kueneza chuki dhidi ya watu wengine. What else can you call this piece?
Waacheni waviendeleze kwanza na hapo baadaye tutavirudisha kwa nguvu ya umma
he huyu mwandishi hakupewa nini? Nasikkia huko arusha kuna wandishi wa habari maarufu wamepewa ili wasichonge!
Njia nyingi zilitumika kuwaibia wananchi kuichangia CCM katika uchaguzi, hii nayo ilikuwa mojawapo. Hakika tuna miaka mingine mitano ya maumivu na kwa mambo yalivyoanza, safari hii mafisadi hawatahitaji hata kunawa kabla ya kukomba hadi uji wa mgonjwa. Tutakuja kujua kwa nini Jakaya Mrisho Kikwete na timu yake walikuwa tayari kumwaga damu mradi wabaki Ikulu, Watanzania tuombe sana !"Badala yake kamati hiyo ilibuni mbinu za kuchukua fedha za malipo ya ada za fomu zilizochangwa na wananchi ambapo wataalamu wa chuo hicho walilipwa fedha zinazokaribia kufikia Sh. milioni 90 kwa kazi hiyo na zaidi ya Sh. milioni 200 zilizobakia kati ya 300 zilizopatikana na kwa mauzo ya ada za fomu ziliingia Halmashauri", alieleza mtoa habari wetu.