Raia Mwema Forbidden Edition - Will it come out tomorrow?

RAIA MWEMA NA MWANAHALISI NAONA TOKA JANA WAMEAMUA KUFANYA PROMO YA MAGAZETI YAO YA LEO HUMU JAMVINI....BY THE WAY WAMEFANIKIWA A BIT:whoo::whoo:
naona ka-nzi kamepata kazi ya kuwa marketing officer sasa

hongera enigma, naona umepata kazi tamu sana

I am now losing faith in you dude
 
Niko Morogoro stendi ya mikoani msamvu, nimetafuta raia mwema nimelikosa. Wauzaji wananiambia halikuja leo. Mwanahalisi na mengine yako available!
 
Hiyo heading kuu ya Raia Mwema itasababisha kuahirishwa kutangazwa kwa Baraza la mawaziri. Itabidi muungwana atafute kwanza jina mbadala kujazia nafasi ya Waziri wa Nchi - PM Office, Serikali za Mitaa.
 
Kwa hiyo hii habari sio ya kweli!?

Very interesting hapa Arusha sijapata copy, kijana anayeleta hakulipata. Hivyo tafadhari tuwekee on line gazeti lote, tuweze kujua kilichomo.
Watazuia information hadi lini?????? Wanajidanganya tuu, ukweli utajulikana.
 
Hiyo heading kuu ya Raia Mwema itasababisha kuahirishwa kutangazwa kwa Baraza la mawaziri. Itabidi muungwana atafute kwanza jina mbadala kujazia nafasi ya Waziri wa Nchi - PM Office, Serikali za Mitaa.

Ulichokisema hakiko mbali sana na ukweli nasikia JK tayari ameahirisha kutangaza baraza lake la mawaziri (Kuna post tofauti humu juu ya hilo). Inabidi atafute replacement kwani kumtangaza Lowassa kwenye baraza lake la mawaziri na hii kashfa mpya iliyoibuliwa na Raia Mwema, ni kujitafutia criticism wazi wazi!!! Lakini kwanini anamg'ang'ania Lowassa? Kuna wengi wanaofaha kuwa Mawaziri Lowassa ni mchafu na hawezi kusafishika hata kidogo.

Tiba
 
Wamekwishaanza....tunakoelekea ni kukimbia nchi sasa!

hapo mi ndo maana anataka kukimbilia kwa mama gaude wangu..maana masiha yamekuwa magumu ,JF BAN,Uswahilini umeme unakatwa,Mtaa mtendaji ananimind napigwa fine sina shimo la **** kisa nilichangua chadema,posta ndo huko tena magazeti yanazuiwa..sasa twende wapi??/aghhh mi naona bora niende kwa mama gaude wangu Hofmanstraat
 
just another interesting observation: kwenye page ya mwisho ya raia mwema la leo chini kabisa pale panaposema kwamba gazeti hili limeprintiwa na "kampuni fulani" panaonyesha kabisa kuwa pamefutwa..........
 
bernard membe In action....agaist lowassa ...watakaangaana sana..nimeliona raia ....wamemmwaga lowassa na ni proven kuwa kampuni iliyofanya udalali wa kuuza richm kwa dowas imelipwa na mwanaye
 
Hivi huu mchezo siyo tom and jerry? Maana iweje habari hii itoke magazetini the day jk anatangaza baraza? Isije ikawa jeikei alikuwa anatafuta excuse ya kumtosa ndugu yake??!!!
 
Hiyo heading kuu ya Raia Mwema itasababisha kuahirishwa kutangazwa kwa Baraza la mawaziri. Itabidi muungwana atafute kwanza jina mbadala kujazia nafasi ya Waziri wa Nchi - PM Office, Serikali za Mitaa.

Mkuu Jabulani, Chukua Tano. Ilitangazwa na vyombo vya habari kuwa baraza la Mawaziri lingetangazwa leo kuanzia saa 4 na Nusu. Sasa hivi ni Saa tano na Nusu na hakuna kinachoendelea na vituo vyote vya TV vinaendelea na matangazo yao ya kawaida! BIG UP SANA Raia Mwema. Give the Mafisadi a Run for their (our!) Money...and Scandals!!!
 
Tusimuhukumu kwanza Bro. According to hizi post zote kuna kaukweli ndani yake tumpe benefit of doubt

naona ka-nzi kamepata kazi ya kuwa marketing officer sasa

hongera enigma, naona umepata kazi tamu sana

I am now losing faith in you dude
 
Mlioamka asubuhi mmeliona hilo gazeti mitaani?

Ndiyo mzee. Lakini nimeshitushwa na habari moja kuandikwa na gazeti la mafisadi kuwa eti EL ameanza kuchafuliwa na gazeti fulani kama ilivyo desturi yao tangu miaka iliyopita. Cha ajabu nimekuta story ya utata ya EL kwenye raia mwema. Inawezekana walijua kinachoendelea
 
Mkuu Jabulani, Chukua Tano. Ilitangazwa na vyombo vya habari kuwa baraza la Mawaziri lingetangazwa leo kuanzia saa 4 na Nusu. Sasa hivi ni Saa tano na Nusu na hakuna kinachoendelea na vituo vyote vya TV vinaendelea na matangazo yao ya kawaida! BIG UP SANA Raia Mwema. Give the Mafisadi a Run for their (our!) Money...and Scandals!!!

Raia mwema-- Raia Mwema-- Raia Mwema kazi nzuri sana hiyo.Yaliyo fanyika gizani yatajulikana nuruni.
Waende wapi sisi tunao tu!!! Hivi ni kweli jamaa wanamalizana wenyewe?????? Penye ukweli uongo hujitenga.!!!
 
Naona itakuwa issue ya mtoto wa EL kufanya transfer ya one billion kwa ajili ya ununuzi wa nyumba London.
Alafu imekuja siku mbaya ie siku ya kutangaza baraza la mawazili uku JK akisisitiza kuteua watu waadilifu
 
Mnashtuka nini, EL anaviwanda Netherlands huko... itakuwa hivi vipaundi au tuseme vi 'pence'.....tumeliwa lakini atatapika tuu. yeye na huyo muirani wake...
 
Greetings, the upcoming issue of Raia Mwema is said to be extremely explosive that the Printers has been forbidden to continue printing it for tomorrow. Thus, all the already printed issues will probably be scorched... The editors are now struggling to find out if there is anyway the news paper will come out as scheduled.

Almost 10,000 were already printed but all of them are not to be distributed b4 tomorrow.

We have had the privilege of knowing the content of this newspaper and we are absolutely sure it will ruin some happy faces tomorrow. It is one of the best investigative reporting ever attempted by a Tanzanian media. We hope that there will be a way to have the newspaper out tomorrow even in a very limited quantity.

It is another way of marketing your paper. I don't think if the paper is :ban:Keep on with your research.
 
Back
Top Bottom