Mlioamka asubuhi mmeliona hilo gazeti mitaani?
just another interesting observation: kwenye page ya mwisho ya raia mwema la leo chini kabisa pale panaposema kwamba gazeti hili limeprintiwa na "kampuni fulani" panaonyesha kabisa kuwa pamefutwa..........
Ni baada ya kuhama printer kutoka Jamana kwenda Printech...... ni hatari sana hii nchi tunaelekea kubaya na tusishangae kusikia maajabu zaidi.
Ndiyo mzee. Lakini nimeshitushwa na habari moja kuandikwa na gazeti la mafisadi kuwa eti EL ameanza kuchafuliwa na gazeti fulani kama ilivyo desturi yao tangu miaka iliyopita. Cha ajabu nimekuta story ya utata ya EL kwenye raia mwema. Inawezekana walijua kinachoendelea
Wakuu mpaka sasa saa kumi kasoro dakika 7 gazeti la Raia mwema halijaonekana mjini Arusha.Tafadhali waliopata bahati watujuze kwa mapana na marefu habari zilizoko ndani ya RaiaMwema.
Acheni porojo,gazeti mbona mie ninalo hapa halikuwa adimu wala nini
I very much doubt the credibility of this story
Lipo mtandaoni mkuu, lishukie fasta hapa Raia Mwema - Muungwana ni Vitendo
We have had the privilege of knowing the content of this newspaper and we are absolutely sure it will ruin some happy faces tomorrow. It is one of the best investigative reporting ever attempted by a Tanzanian media. We hope that there will be a way to have the newspaper out tomorrow even in a very limited quantity.
Dalili za udikteta zinaanzia katika kuunyonga uhuru wa habari! Huu ni mlolongo ulioanzia na kosa la kuchakachua kura, halafu kinafuata kuwanyamazisha wale watakolalamika foul! Kisha kuwa eliminate wasio kubali kunyamazishwa..... the story will go on and on...Serikali ya Tanzania iko katika ukingo wa kuingia katika mchezo ambao kujinasua ni shida sana. Ukishaanza na dhulma itabidi ueendelee kudhulumu ili kufukia dhulma ya kwanza na ya pili na ya tatu mpaka utakuwa mdhulumu aliye kubuhu. Yaani dikteta... Njia pekee ni kukiri dhulma ya kwanza na kujisahiihisha! Kikwete break the vicious circle now or else you will have to eliminate all who oppose you and eventually one day end up in the Hague!