Rahma Al Kharoos anatafuta Ubunge?

Tunataka wanawake wengi bungeni....go go go mama Rahma Al Kharoos Al Kharoos.....tumia vizuri kitega uchumi chako ulo jaaliwa...
 
Tatizo la wadanganyika wengi ni wivu, chuki, fitina, uroho, upumbavu, ujinga n.k.

Kwani mtu kuwa na pesa zake na kuutaka ubunge ni kosa? Mbona Mzee Ndesa ni bilionea na bado ni mbunge? Mbona mama Lwakatare ni bilionea na bado ni mbunge? Wakili Mkono na wengine wengi ni mamilionea wa kutupwa na bado wanang'ang'ania ubunge sembuse huyo al hadoud? Chuki zenu zinawapeleka pabaya na hasa pale mnapozionyesha hadharani kuhusu mtu fulani au jamii fulani au kikundi fulani.Leo mnalilia maximo mwingine wakati pesa za kumlipa zinatoka ikulu,kwanini msiamue kuchangia wenyewe na kumlipa ili hizo za ikulu zinunue madawati?

Amejitokeza mwanamama shupavu wa kuchangia taifa lake katika michezo mnaanza ooh ushuzi, kajamba mtakufa bure na vijiba vya roho.Acheni ujinga fanyeni kazi na si kufuatilia mambo ya watu,taifa masikini kwa mtaji huo lazima mtaendelea kuwa masikini wa kutupwa na kutawaliwa kila siku. Najua hapo angekuwa anatoa misaada yule ambaye si miongoni mwa mliyetumwa kuwatenga katika mipango yenu basi mngeanza kumsifia yule anafaa sana.

Upumbavu huo hautoisha hadi mbadili yaliyomo katika vifua vyenu. Nimekumbuka mhanga mmoja alisema "La kama mngeyajua yaliyomo vifuati mwao wala msingewafanya hao kuwa marafiki na vipenzi vyenu", sasa chuki zao zimeanza kujionyesha hadharani.

Ukichukia chukia kwasababu huniongezei siku za kuishi hapa duniani,muda wangu ukifika nitajifia na si kuendekeza ujinga na upuuzi wa aina hiyo.

Mungu ibariki Tanzania.

C'mon Pengo. tunataka kujua hela zetu sisi walipa kodi zinatumika vipi. Mtu hatujui atokako anamwaga pesa hovyo kama njugu -- au tayari wameshakupua tena BoT? Maana tarehe zenyewe ndiyo hizi. safari hii tunataka kuwakamata kabla ya uchaguzi. Isitoshe nchi hii siyo ya kisultani please!!!
 
Wanawake jitokezeni mgombee kwenye chaguzi hizi.Akijitokeza Al Kharoos nampa kula yangu.Sijui nimtafute wapi nimfanyie kampeni.!
 
Ndo udhaifu wake huo,

Jamaa ataiuza nchi kwasababu ya mashori!! Ndio maana siku hizi anawapigia upatu waje kuwekeza hao waarabu wa saudia na Oman kumbe ni shemeji zake!! Tusipoamka tutastukia waarabu wamerudi na kutufanya watumwa once more kwa tamaa na starehe za watawala wetu!!
 
Wanawake jitokezeni mgombee kwenye chaguzi hizi.Akijitokeza Al Kharoos nampa kula yangu.Sijui nimtafute wapi nimfanyie kampeni.!

Mkulu kwanini asimpe ukuu wa Mkoa ama wa wilaya naona Ubunge watu weshaanza mambo yao!
 
Ahhhhh bwana kwenye week 2 Mh Rahma Al kharoos al kharoos ametumia Mil 22 kwenye publicity ...10 mil netball na Ridhiwani akiwepo na tena 12 Mil kwa Wazuri (Miss) intercolllege...Hizi pesa zina nunua madawati mangapi.....hawa wanasiasa hawajuai sehemu za kupeleka pesa zao. Mimi hapo ningejenga Dispensary kule anakotekea Balatanda ama kwa kina Manyoya wa Ngoswe

The Following User Says Thank You to Masanilo For This Useful Post:
Bubu Ataka Kusema (Today)

mkuu hizo wanazizungukia badae na kuzila tena.
wakijenga ama kununua dawati soo maana mtadai darasa baade,ila kwenye netball na vinginevyo powa kabisa.
 
huyo mtu anaeitwa pengo nae kimeo sijui katumwa na nani?na huyo mkulu asituchanganye awaambie vi...a wake nchi hii siya kisultan kama wanataka wakafungue showroom au maduka ya nguo.
 
Waungwana, mtaniwia radhi kwa kutoonekana ukumbini kwa muda mrefu. Nimekuwa nikisoma alama za nyakati ili niweze kuja hapa na mada iliyosheheni hoja za nguvu, si nguvu za hoja.

Naanza kwa hili la Mke Mdogo wa Mkuu wa Kaya – nadhani wote mnamtambua, sihitaji kumtaja jina lake – ambaye hivi karibuni ameanza kampeni za wazi wazi, ikionekana dhahiri kwamba si kwamba anajinadi ili kuweza kupata umaarufu wa haraka haraka, lakini lengo lake haswa likiwa kuupata Ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Tawala.

Habari za ndani kutoka kwa wadau walio karibu naye zinadai kwamba mwanamama huyu machachari na mkorodi, ambaye inasemekana kwamba "haambiliki" hata kwa Mkuu wa Kaya mwenyewe, amepania naye kuukwaa Ubunge huo ili naye aingie "mjengoni" mwaka 2010, lakini kisichojulikana ni kwa malengo gani haswa yanayomsukuma kufanya hivyo. Licha ya kwamba mwanamama huyu ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kifedha – jambo ambalo amelidhihirisha wazi wazi – haieleweki ni kipi haswa anachokifuata "mjengoni" humo.

Duru za kisiasa zinasema harakati za mwanamama huyu zinaweza kuleta athari hasi kwa Mkuu wa Kaya, kwani zitasomeka kuwa harakati za kuigeuza hali ya kisiasa nchini hapa kuwa ya "kisultani", kwani, minong'ono inasikikika kwamba mwana wa Mkuu wa Kaya, ambaye ni Mjumbe wa NEC kupitia Wilaya ya Bagamoyo, naye pia yumo mbioni kujiandaa kugombea kuingia "mjengoni", ingawa hajatangaza rasmi nia yake hiyo.

Mwanamama huyu alianza kishindo cha kampeni zake siku chache zilizopita baada ya kumwaga kitita cha fedha taslim shilingi milioni 10, ambazo alihakikisha zinaonekana kwenye taarifa ya habari ya kituo cha luninga cha Channel Ten, ambacho ndicho kimekuwa karibu naye kwa wakati wote huu. Kitita hicho kilimwagwa kama "msaada" kwa timu ya soka ya wanawake, Twiga Stars, RK akitambulishwa kama "mdau wa soka ya wanawake", na kutambulishwa kwamba amekuwa akiichangia timu hiyo mara kwa mara. Jambo la kushangaza ni kwamba, ni zaidi ya mara moja timu hiyo imekuwa ikitembeza bakuli kwa wafadhili mbalimbali, lakini haikuwahi kusikika hata mara moja kwa mwanamama huyo – ambaye anaishi nchini Oman – kujitokeza kuisaidia, licha ya uwezo wake mkubwa wa kifedha.

Jitihada za mwanamama huyu kujinadi wazi wazi hazikuishia hapo, kwani, ni Jumapili ya wiki iliyoisha, alijitokeza kufadhili kinyanganyiro cha kuwasaka walimbwende wanaoshiriki kupitia shindano la Miss Inter College, ambao washindi wake watapata nafasi ya kuingia moja kwa moja kwenye shindano la Miss Tanzania 2010. Safari hii, dau la mwanamama huyu limeongezeka kufikia Shilingi milioni 12, akijinadi kupitia kampuni ya RBS Oil and Technology.

Tathmini yangu ni kama ifuatavyo.

Iwapo mwanamama huyu ataachwa kuendelea kufanya ayatakayo, huenda kambi ya Mkuu wa Kaya ikapata athari hasi, kwani harakati hizi zitaweza kuwa "mtaji wa kisiasa" (political capital) kwa kambi ya upinzani, wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, jambo ambalo linaweza kuathiri vibaya matokeo ya kura zitakazovunwa na Mkuu wa Kaya
Duru za kisiasa zimezidi kudodosa na kusema kwamba, harakati za mwanamama huyu zinaweza kutafsiriwa kuwa ukandamizaji kwa wanawake kutokana na nafasi kubwa aliyonayo kama Mke Mdogo wa Mkuu wa Kaya, nafasi ambayo anaweza kuitumia ipasavyo kwani hakuna atakayeweza kumpinga wakati wa kinyang'anyiro hicho cha Ubunge kupitia Viti Maalum. Kampeni ya kusaka umaarufu kwa kutoa michango lukuki inasadikiwa kuwa ni kutaka kumwiga Mke wa Rais, ambaye tayari amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na mchango wake mkubwa kwa maendeleo ya wanawake na watoto, japokuwa Mke huyo hajaonesha nia ya kutaka kugombea nafasi ya kuingia "mjengoni"

Wadau wa masuala ya kisiasa wamemshauri Mkuu wa Kaya kumwita mwanamama huyo na kumkalisha, kasha kumpa karipio kali na amri ya kusitisha mara moja harakati zake hizo, kwani harakati hizo za kuutaka umaarufu zinaelekea kumwaga "mtama" na kuweka wazi mambo ya ndani ya "familia" yasiyopaswa kujulikana, jambo ambalo litaweza kuiweka kambi ya Mkuu wa Kaya kwenye wakati mgumu mara tu kipenga cha kampeni za Uchaguzi Mkuu kitakapopulizwa rasmi.

"Sio kwamba Mkuu wa Kaya anapendwa sana na wananchi wake, la hasha; sio kwamba wananchi wake wote watafurahi akirejea ulingoni, la hasha; itakuwa ni aibu akishindwa kurejea kwa sababu ya kukuru-kakara za mke wake mdogo", alishauri mdau mmoja wa kisiasa.

Nimepewa ujumbe niufikishe kwa Mkuu wa Kaya. Natumai utafika.

>>> Mchokonozi, Shujaa wa Kuchokonoa!

HIZI KWELI NI TETESI. Lakini zina uongo mwingi sana ndanimwe.

Watz wote tunajua kuwa raisi wetu ana mke mmoja, mama salma. nashangaa huyu mwingine ametokea wapi/.

kwani si ajabu raisi kuwa na mke zaidi ya mmoja. kwani hata MWINYI ALIKUWA NA WAWILI.

ELEWA KUWA SI KILA MWANAMKE NI MKE. ILA MKE NI LAZIMA AWE MWANAMKE.
 
Tatizo la wadanganyika wengi ni wivu, chuki, fitina, uroho, upumbavu, ujinga n.k.

Kwani mtu kuwa na pesa zake na kuutaka ubunge ni kosa? Mbona Mzee Ndesa ni bilionea na bado ni mbunge? Mbona mama Lwakatare ni bilionea na bado ni mbunge? Wakili Mkono na wengine wengi ni mamilionea wa kutupwa na bado wanang'ang'ania ubunge sembuse huyo al hadoud? Chuki zenu zinawapeleka pabaya na hasa pale mnapozionyesha hadharani kuhusu mtu fulani au jamii fulani au kikundi fulani.Leo mnalilia maximo mwingine wakati pesa za kumlipa zinatoka ikulu,kwanini msiamue kuchangia wenyewe na kumlipa ili hizo za ikulu zinunue madawati?

Amejitokeza mwanamama shupavu wa kuchangia taifa lake katika michezo mnaanza ooh ushuzi, kajamba mtakufa bure na vijiba vya roho.Acheni ujinga fanyeni kazi na si kufuatilia mambo ya watu,taifa masikini kwa mtaji huo lazima mtaendelea kuwa masikini wa kutupwa na kutawaliwa kila siku. Najua hapo angekuwa anatoa misaada yule ambaye si miongoni mwa mliyetumwa kuwatenga katika mipango yenu basi mngeanza kumsifia yule anafaa sana.

Upumbavu huo hautoisha hadi mbadili yaliyomo katika vifua vyenu. Nimekumbuka mhanga mmoja alisema "La kama mngeyajua yaliyomo vifuati mwao wala msingewafanya hao kuwa marafiki na vipenzi vyenu", sasa chuki zao zimeanza kujionyesha hadharani.

Ukichukia chukia kwasababu huniongezei siku za kuishi hapa duniani,muda wangu ukifika nitajifia na si kuendekeza ujinga na upuuzi wa aina hiyo.

Mungu ibariki Tanzania.

Kweli wewe Mjahedina haswa! hujatoa point yoyote zaidi ya kutetea dini. Hivi nchi ikiwa ya Wakatoliki wote unadhani ndo itakuwa salama? Udini mnauweka sasa, lakini baadaye si kila mtu anafaidika na dini ikiwa moja. Changia hoja, siyo kushambulia kwa misingi ya ubaguzi. Umetumia lugha Mzunguko, lakini ukweli unajidhihirisha kwa mtiririko wa kiswahili chako, na ghadhabu ilyo jaa ujinga wa kidini (digmatic).

Halafu, badili jina badala ya pengo tumia asili yako halisi ya Zenji !
 
African Lyon to Get New Owners

Evance Ng'ingo
20 August 2010

Dar Es Salaam

Premier league side African Lyon is likely to secure new owners; it was learnt in Dar es Salaam on Friday.

RBP Oil Industry Executive Director Rahma Al-Kharoos confirmed her intention to buy stake in the Mbagala based team that has been left orphan by its former owner, Mohammed Dewji.

US-based investors also reportedly have shown interest to join a local company -- RBP Oil Industry in a take-over deal. To prove her intent, Rahma said she has entered into a contract worth 110m/- to support the team's campaign in this season's top flight league.

She said officials of the potential shareholders --Seattle Sounders from USA, are expected in Dar es Salaam on Saturday, for talks with the team's leadership on a possible take-over deal.

"We have good plans to transform African Lyon from their current tag as a minnow club into a massive club in the country and Africa. We will start by introducing youth system at the club as well as introducing women team," she said.

She said if the deal with Seattle Sounders goes through, Africa Lyon players will be provided with an avenue to visit and play in USA regularly. African Lyon Secretary General Brown Rugemarila thanked RBP boss for what he described as timely support.

"We are so pleased that you have bailed us out just a day before the start of the league. It was definitely going to be hard for us to compete in the league without enough financial power but at least now we can compete favourably," he said.

Link: here from All Africa news
allAfrica.com: Tanzania: African Lyon to Get New Owners

Picha on Mohamed Dewji blog

african-lyon-12.jpg
 
Lakini pia mmesahau kuwa aliipeleka timu yetu ya Twiga Stars Marekani kwa wiki 2? Nafikiri kila mmoja anatafuta sifa kwa timu yake. Baba yuko Taifa Stars na Mama yuko Twiga Stars.

Ahhhhh bwana kwenye week 2 Mh Rahma Al kharoos al kharoos ametumia Mil 22 kwenye publicity ...10 mil netball na Ridhiwani akiwepo na tena 12 Mil kwa Wazuri (Miss) intercolllege...Hizi pesa zina nunua madawati mangapi.....hawa wanasiasa hawajuai sehemu za kupeleka pesa zao. Mimi hapo ningejenga Dispensary kule anakotekea Balatanda ama kwa kina Manyoya wa Ngoswe

The Following User Says Thank You to Masanilo For This Useful Post:
Bubu Ataka Kusema (Today)

DSC09813.JPG

Rais wa kampuni ya RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY (T) LIMITED,Mama Rahma Al Kharoos akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari waliofika leo katika Hoteli ya Movenpic wakati wa akitangaza udhamini wake wa Mil. 12 kwa ajili ya shindano la Miss Dar Inter College

DSC09823.JPG

Rais wa kampuni ya RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY (T) LIMITED,Mama Rahma Al Kharoos akikabidhi Hundi yenye Thamani ya shilingi Mil. 12

Jamani mpooo? Kampeni za mwaka huu tamu sana acha nitafute wine yangu ninywe
 
Huyu mwanamama amepewa maelekezo ya kujitangaza through michezo na sanaa.Lengo halikuwa ubunge kama walivyofikiri wengi bali anaandaliwa ulaji sehemu flani.Mkakati huo bado upo lakini unaweza kuathiriwa na uhusiano wake na Kikwete kutajwatajwa waziwazi.
 
Lazima atapatiwa kazi kubwa iwapo Kikwete atarudi Ikulu! Mahusiano yake na Mh Kikwete na huyu dada yapo wazi sana.
 
Back
Top Bottom