Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
LEO NAFUNGA APPLICATION MAJIBU HAPAHAPA JF ASANTENI