Rafiki wa kiume

Hiki kigezo namba 9 kama kisingekuwepo, this time next weekend ningekuwa nimejipumzisha kifuani kwako pale Yacht Club Sea Cliff.

Huwezi kukiondoa mama?
 
kwa osmosis

Angalia location yangu na yako uone how serious i am wit u...

Join Date : 18th July 2011
Location : paradise

Posts : 10,087
Rep Power : 17387
Likes Received
7433

Likes Given5840

Join Date : 14th October 2008
Location : On my way to Heaven!

Posts : 5,249
Rep Power : 4759
Likes Received2791
Likes Given7420
 
mimi ni mwanamke nina miaka 30 niko lonely sana jamani i wish niwe na rafiki wa kuinjoy jamani.awe sirias jamani ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo 1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie 2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi 3-kushauriana mambo ya maisha 4-asilieleze mambo ya kungonoka 5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi 6-cost tutashare 7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya 8-awe na akili ya maisha 9-awe mstaarabu mpole 10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu 11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi 12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba thanx wana jf leo nafunga application majibu hapahapa jf asanteni
hongera kwa majibu na kwa kusubiri maana tarehe zinaonyesha ni tangu 2011.
 
Kumbe smile wangu ulianzia mbali sana ? Nilikuwa wapi cku zote sijaiona hii post .
 
Kwa dada mtoa uzi na watu wengine mnaotafuta mahusiano mnayoita serious. Try your level best usijilimit sana, jipe nafasi kubwa ya kuchagua. Na njia nzuri nadhani nikujielezea wewe ulivyo generally then waje wengi then uachie nafasi moyo wako utakapodondokea. Kama Smile ananikosa mimi sifa zote ninazo ila siyo mpenzi wa Arsenal timu ambayo haichukui makombe. Niishabikie ya nini? Yaani lisingekuwa sharti hilo mbona alishanipata.
 
kwani wapenzi wa arsenal si wapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom