Hamna kitu kinacho bowa kama FM radio station za bongo ni mwendo wa machawa kujipendekeza kwa wenye vyeo, kila kipindi ni kama talk show kama chating program, haziwezi kujenga jamii, nusu ya vipindi vyote ni vya michezo na wa sanii wa muziki, mpira asubuhi mpaka jioni, very boring radio station, hivi Tanzania haina professional Radio presenters? Ukiwa muongeaji kama mzaramo ndo unapewa kazi ?