Radio SAFINA Arusha - BWANA ASIFIWE?!?

Status
Not open for further replies.

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
Mhubiri anasema:

Eti TAJIRI anakubalika kwa KILA dini!
Ukitaka kuwa KIONGOZI wa nchi lazima uwe tajiri!
Watu watakuamini kutunza pesa zao!
Anatamani sana vijana wadogo wa Marekani walivyotengeneza mabilioni!

Anasoma Biblia gani huyu?
Anatumia/tafsiri mistari ya bible kama apendavyo yeye.

Halafu anabwagiza kwa "Bwana Asifiwe x3! Haleluya! Haleluya"

Tune In Sat 31.08.2013@13:00
 
Acha upotoshaji!
Umeandika karibu kila kitu ndivyo sivyo hapo!
Hapana aisee! Ndivyo ilivyo - tena nimefupisha mno.
Waulize Radio Safina wenyewe uone kama watakanusha!

Nisingeandika chochote kama mahubiri yangekuwa na Injili.
 
Akili za "Zanzi na kiroba" utazijua tu

You wish! Mimi wa hapa hapa. Unafikiri huyo "Zanzi" ana muda wa mahubiri?
Sijui kama wameweka pia kwenye youtube. Ilikuwa seminar or something like that. Anayejua zaidi atupe detail
 
You wish! Mimi wa hapa hapa. Unafikiri huyo "Zanzi" ana muda wa mahubiri?
Sijui kama wameweka pia kwenye youtube. Ilikuwa seminar or something like that. Anayejua zaidi atupe detail

Ilikuwa semina ya vijana kuhusu maamuzi unayofanya juu ya hela inayopita kwenye mikono yako yanavyoweza yakakufanya ukawa kiongozi(strictly not political leaders only!) e.g a good leader of ur family, company, institutions e.t.c everybody is a leader on his/her own position!
Ukisikia leader usifikirie tu siasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom