Radio rfa mbeya kulikoni?

sabufa

Member
Apr 21, 2013
26
4
Ni kwa muda mrefu sasa radio Free Africa haipatikani katika mkoa wa Mbeya.Kuna tatizo gani?
 
Ni kwa muda mrefu sasa radio Free Africa haipatikani katika mkoa wa Mbeya.Kuna tatizo gani?

Mkuu ni kweli kabisa, hebu hawa wakuu watusaidie walau ufafanuzi tu.

[MENTION]Yahya Mohammed[/MENTION] [MENTION]Dotto Bulendu[/MENTION]
 
yaani shida tunakosa vipindi motomoto kama reggae ragga power.
jamaa watupe information kama watarudi lini hewani.
 
Back
Top Bottom