Radio Mpya&zinazoanza Tanzania 2011.

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Habari yako msomaji,
Naomba msaada, natafuta orodha ya radio mpya zitakazo anza kurusha matangazo yake/ambazo zimeanza kurusha matangazo yake 2011. Natafuta majina na contact zake. Naamin hapa Jf niukumbi mkubwa kama kuna mtu anadetails hata za radio moja anaweza kunidondoshea!

Asanteni.
 
Back
Top Bottom