Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,054
- 1,886
Habari zenu, nilikua na Samsung s3 ilikua na radio lakini niliiuza nikanunua tena Samsung s3 lakini haina radio naomba kuuliza hii imekaaje na pia nikitaka kupakua radio mtandaoni zipo zisitumia internet wakati wa kusikiliza?