Radio moja tu mnahaha nayo je zingekuwa nyingi kama zenu nadhani msingelala usingizi.
ukiona hauna redio nyingi, hamjasoma vya kutosha na hamna vyeo si kwasababu ya mfumo kristo... ni kwamba Allah kawachoka cheki hapa
TAQWA(UCHAMUNGU)-PART 01
FAIDA ZA TAQWA
"Na anayemwogopa (anayemcha) Mwenyezimungu;(Mwenyezimungu) humfanyia mambo yake kuwa mepesi"(QURAN 65:4)
NB;Mambo yenu yamekuwa magumu,kikubwa mmekosa uchamungu,na nguvu ya uislamu na waislamu haipo katika ufundi wa kuongea wala kupiga makelele mengi,nguvu na ushindi weno upo katika uchamungu,sala 5 hazipatikani,majumbani mwenu kutwa kucha miziki,wanawake wenu hawajisitiri,n.k msaada wa ALLAH hauji kwa watu waovu.