Radio and tv's presenter

CHAMKICHA

Member
Aug 17, 2012
18
0
Hivi hawa ma_representer wetu hapa bongo inamaana wamekosa kuvumbua STAIL nyingine ya utangazaji au..?

Maana karibia 70% wanatumia stail moja.,mfano ukiwasikiliza kwa makini <B_12,adam mchomvu,kwisa,prefect,dullah,samisago,tony,millard ayo,dj fetty, na wengine kibao wa radio+tv local za mikoani> wote wanatumia stail moja.,

WANA JAMII TATIZO LAWEZAKUA NN HAPO,.AU NDO UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI..?


:km ujisikii kucoment ni bora ukasoma na kupita na sio kucoment UDWANZI:
 
hata mimi wananishangaza ,nimekuwa nashindwa kutofautisha sauti za watangazaji wengi hasa hawa vijana,tofauti na enzi zetu za kina Juma Ngondae,Salim Mbonde,Debora Mwenda,Abdul Ngarawa na wengineo .
 
Serious now days ni wizi mtupu....
Enzi za mwalimu tylikuwa tunafaham hii ni sauti ya misanya bingi,hii ni ya masoud masoud,h na ya julius nyaisanga n.k.
Binafsi inaniboa,coz maskio yangu yanataka kuskia vitu vipya
 
inaonekana mnawasilikiza sana mpk kujua toauti za wote hao?dont touch the dial
 
Wote wanatumia maneno kama " unaona bana" "brothers and sisters" "sikiliza mzigo" "au sio bana" "sikiliza maujanja" halafu wanabana pua balaa! Wote aliiiga kwa gadner habash
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom