Radi ya kutisha katikati ya Dar na Sunami ya Indonesia leo saa 5:25asbh

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
majira ya saa 5 asubuhi leo kumetokea radi kubwa sana katikati ya jiji. Kwa upande wa baharini anga ilionekana kama kitu kilikua kina ungua na moshi ulitanda.
Pia kuna tetemeko la sunami huko Indonesia ktk mda huu. Tunataadharishwa kuwa mbali na fukwe
 
duuuh na pande za moro kuna bonge la mvua yaani kumenuna ile mbayaaaa.
 
Jaman hata ie hapa oficn kwetu uongozi umetusambazia email kuwa kuanzia mita ya saa kumi jion tuwe mbali na bahari tuwaarifu ndugu jamaa na marafiki kwani kuna hatari ya sunami na itaadhiri maeneo mengi ya karibu na bahari.
 
Duh hii kazi tena,sie wa hapa bongo twende wapi,mayooooooooo!!!!!
 
na mvua bado inaendelea mpaka hivi sasa ktkt ya dar na radi lukuki....ina raha yake lkn hii hali, hususan kama hujakwama kwenye foleni huko mabarabarani!
 
Back
Top Bottom