Radhi ya baba na mama ndani ya safari yangu ya Saudia

Nini haswa kilichokufanya uone hizi dini mbili utofauti wake nimdogo? Unaweza kusema baadhi yasababu
(i) wote tunaamini ni watoto wa Adam na Hawa (eve)
(ii) wote tunaamini Ibrahim (Abraham) ndio baba wa imani
(iii) wote tunaamini juu ya utukufu wa Mama Maryam
(iv) wote tunaamini juu ya utukufu wa Issa (Jesus)
(v) Wote tunaamini juu ya ujumbe waliotumwa nao Musa (Moses), Suleiman, Yaakub (Joseph), Ishaka, Ismail na wengine wengi.
(vi) Wote tunaamini juu ya Zaabur, injil and Torah

Na mambo lukuki bro
 
Sawa mkuu, kuna sehemu umesema kuna sehemu ulikuwa unapashika katika huo msikiti nakubusu kama nakumbuka vzr je nipo sawa?
 
Aha Sawa vzr nahapo kwenye kaba kuna nn hasa ambacho wewe kinakupa nguvu yakufanya yote hayo? Nijibu alafu mwisho kuna kitu nitasema
Nothing bro, just out of love.

Unajua vile kila saa upo na mwanao unambusu?? Kwani ukimbusu unapata nini?? Au pale unapobusu msahafu au bible?? Hupati kitu ila out of love, you find yourself doing it.

Ila kwenye kaaba yenyewe kuna sehemu panaitwa HAJRATUL AS-WAD tumeelekezwa tupabusu na hapa ndio nimegundua kunasababisha watu wengi wafe. Ntaelezea episode za mbele kidogo namna mzee alivyotaka kufa hapa kwenye hiyo HAJRATUL AS-WAD
 
Mkuu kulingana namjibu yako ningependa waislamu wengi zaidi waende hijja kadili Mungu atakavyowawezesha ili kuilewa zaidi dini yakiislam naamini hata mizozo/kashfa namengine mengi yatapungua kwaasilimia kubwa sana, Asante sana
 
Kivipi mzee baba???🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kivipi mzee baba???🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ulikuwa unatambua kuwa dini hizi mbili zinatofautiana kwakiasi kidogo kabla yakwenda huko? Nilikazia hapo kwenye kubusu nakushika hapo kwenye sehemu iliyojengewa, Me nichristian kwenye makanisa yetu tuna misalaba na kipindi chakwaresma mwishoni huwa tuna ijumaa kuu so katika hiyo Misa ya ijumaa kuu huwa kuna vitu vinafanyika kanisani kama kubusu msalaba nakushika ila sio lazima kufanya hivyo muumini atafanya hivyo kwakadri itakavyo mgusa ktk nafsi yake kwahiyo kwamtu ambaye ajui kinachoendelea akipita nakuona hiyo ibada inavyoazimishwa anajenga kitu anachokiwaza kichwani kwake bila yakujua chochote nambaya zaidi ataanza kutumia kama fimbo yakuwachapia waumini wadini husika.
 
I see!

Moja ya rule moja nzuri sana ya kwenye maisha ni usiongelee jambo kama huna elimu nalo. Hao wanaoongelea na kukosoa kwa nini mtu abusu the cross, mara nyingi huwa hawana elimu ya hayo mambo.
 
Back
Top Bottom