Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

f990328250637e0764fc1b85601093b2.jpg

Tehe tehe tehe nasikia hao jamaa waliofagia na kudeki barabara walikuwa hawana kadi za kupigia kura!
 
Tanzania watu wana ingia kwenye Siasa kwasababu ya shida na maslahi, Maendeleo ya nchi na Maendeleo kwa wote ni ziada tu. Mtu hata elimu ya Uraia hajui kisha anajiita mwana siasa, Pumbavu kabisa. Fanyeni kama Trump mwenye hela zake. Shida zinawasumbua tu.
 
Mtadeki sana barabara, badala ya kudeki vyumba vyenu vya kulala,
Mimi nilikua nauliza kama hii imewahi kutokea Tanzania maana sioni bendera ya chama chochote labda ilikua Uganda ama Kenya bwana watanzania hatujafikia huko mkuu kudeki barabara. wanasiasa wetu wakomavu hawawezi kuruhusi hii hali.
 
Njaa zao zitawangusha sana, cdm ingekuwa imeshinda wasingehamia ccm au vp
 
Nyie semeniiii
Wabezeniiii
Wachekeniiii
Wapo wapo kazini wanaangalia maslahi.
Ni kama Kuhama CRDB kuhamia STANBIC and vice versa.
 
Huyu Christowaja Mtinda namfahamu toka tukipiga shule pale UD. Alipata alama za juu (GPA) wengi walihoji hasa ukizingatia darasani ilikuwa sufuri. Akapata women scholarship ya masters ya UD halafu akapelekwa kufundisha Mkwawa (MUCE). Alianza PhD kule uingereza hata hakumaliza kitu ambacho wengi walitegemea kutokanan na uwezo wake. Ghafla tukasikia yuko Viti maalum. Nadhani CHDMA walikuja kutambua uwezo wake ndo maana akapigwa chini. Kwa jinsi ninavyomfahamu huyu bibie, kurudi CCM ni strategy either arudi MUCE au apate hata udc. Ni 'go getter" huyu usione michirizi ya kujichubua....
 
Na Dada yake Tundu lissu pia!!
Ndugu Magufuli anasema ni Marufuku vyama vya hovyo hovyo kufikiria kuitawala Tanzania! Aksante sana Ndugu Rais.

Kwani hii nchi ni yake, mpaka aseme hivyo, soma katiba, acha uvivu wewe ........................................
 
Huyu Christowaja Mtinda namfahamu toka tukipiga shule pale UD. Alipata alama za juu (GPA) wengi walihoji hasa ukizingatia darasani ilikuwa sufuri. Akapata women scholarship ya masters ya UD halafu akapelekwa kufundisha Mkwawa (MUCE). Alianza PhD kule uingereza hata hakumaliza kitu ambacho wengi walitegemea kutokanan na uwezo wake. Ghafla tukasikia yuko Viti maalum. Nadhani CHDMA walikuja kutambua uwezo wake ndo maana akapigwa chini. Kwa jinsi ninavyomfahamu huyu bibie, kurudi CCM ni strategy either arudi MUCE au apate hata udc. Ni 'go getter" huyu usione michirizi ya kujichubua....
Haishi na mumewe. Kila mmoja yupo kivyake vyake.
 
Back
Top Bottom