Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

!
!
View attachment 321491

Leo mjini Singida katika kuadhimisha miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM, maazimisho hayo yanayofanyika mjini Singida pia yameambatana na tukio kubwa la kuwapokea waliopata kuwa wabunge wa CHADEMA ambao ni Bi Rachael Mashishanga na Christowaja Mtinda

!
!
Hivi hawa wachibuao huwa wanajichubua hadi kwenye papaki/papuchi?... Hatari sana hii kama jibu ni ndio.
 
Wamehaidiwa zawadi gani ktk kipindi hiki?
Kuna wilaya mpya kadhaa zimeanzishwa ikiwa ni pamoja na Ubungo na Kigamboni. Wanasiasa Mamamluki wengi utawaona kila wilaya mpya inapoanzishwa. Kwa historia ya siasa ya Tanzania ni kitendo cha kishujaa kuhama CCM na kujiunga na chama cha upinzani kwa sababu huko nyumba CCM ilikuwa imejikisha hatamu. Lakini kuhama chama cha upinzani na kurejea CCM ni dalili za umamluki. Ningekuwa mimi ni akina wadada poa hawa, ningeamua kuachana na siasa.
 
Lakini tuheshimu maamuzi watu. Isiwe dhambi mtu mmoja kuhama kutoka chama kimoja kwenda chama kingine.
Maamuzi hayo yasifanye mtu aliyehama akanyanyapaliwa na wale alikotoka. Siasa siyo uadui ndiyo maana Mzee Stephen Mashishanga alikuwa CCM lakini Rachel alikuwa CHADEMA. Tundu Lissu yupo CHADEMA lakini Kaka yake Mghwai yupo CCM na Lissu ndiye aliyemshinda kwenye uchaguzi ulimwingiza kwenye Ubunge kwa Mara ya kwanza.
Na kwa mujibu wa taaluma zao za Uanasherea wamekuwa wanasimama kwenye pande zinazopingana hasa inapokuwa ni kesi zinazohusu matokeo ya uchaguzi kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa jimbo la Singida Masharaki na Arusha mjini ambapo kwa sehemu hizo CCM walikuwa wanapinga matokeo. Mghwai alishindwa na Lissu. Baada ya Kazi hawa bado ni mtu na mdogo wake na wanapanga maisha yao kwa faida ya familia. Hivyo siasa siyo uadui na watu wasifungwe kuhama na kwenda mahali ambapo wanaona wanaweza wakafanya maisha. Siasa ni fani na wanasiasa wengi ni optimistics.
 
In
Na Dada yake Tundu lissu pia!!
Ndugu Magufuli anasema ni Marufuku vyama vya hovyo hovyo kufikiria kuitawala Tanzania! Aksante sana Ndugu Rais.

Ccm ndiyo cha cha hovyo kabisa kinatumia majeshi kubaki madarakani. Bila kuchakachua matokeo na ubabe wa majeshi yetu ccm Leo Hi kingekuwa chama cha upizani
 
haahaa siasa hizi ni shida hawa wametoka cdm kwa vile wamenyimwa viti maalumu. duh. any way tuseme ni demokrasia...
 
haahaa siasa hizi ni shida hawa wametoka cdm kwa vile wamenyimwa viti maalumu. duh. any way tuseme ni demokrasia...
 
Akihama CCM kwenda upinzani hasa Chadema anaonekana Mzalendo..

Ila akihama upinzani hasa Chadema akienda CCM anaonekana ni Msaliti.



Huu ni upuuzi na ulimbukeni.. Kila mmoja anafanya maamuzi kutokana na Utashi wake.... Tuheshimu mawazo ya wengine!.


CCM ipo kihalali lazima ihamwe na kuhamiwa

Upinzani upo kihalali lazima uhamwe na kuhamiwa pia.
 
Back
Top Bottom