Jmushi unamjua huyo Gire unayemsema? Huyo ni Richmond aka Dowans.
Ishu hapa nikuwa Mtikila na RA wote ni wajanja na sioni hata siku moja wakiwa straght forward, mara zote hawakani au kukubali kitu chochote ila watakupa sababu nyingi sana. Kwa RA njia ni kumnyima kura may be anaweza akawataja wenzake na madeal yao wakimuacha nje ya mtandao.
Kama RA aliweza kulivamia kanisa la KILUTHERI ni wapi ATASHINDWA?
Wabunge wenyewe hati hati.
Ndiyo iwe Mtikila?
Mimi sisemi mtikila eti aaminiwe...Bali hatuwezi kumfananisha na RA hata siku moja!
Huo utakuwa uonevu wakupita kiasi!
Kumbukumbu ni jambo jema sana! Kuna vizazi wataunganisha dot kuona tulivyokuwa tunafikiri!Ahsante naanza upya tena.