R.O.M.A Tanzania best artist ever

Kwakweli nyimbo za roma ni kama ana angalia taarifa ya habari alaf ana tunga nyimbo!
 
Kwakweli nyimbo za roma ni kama ana angalia taarifa ya habari alaf ana tunga nyimbo!

true that...jamaa sio mwandishi mzuri...mtu anauwezo wa kupredict wimbo mpya wa roma utahusu nini kwama ukifatilia vyema taarifa za habari na magazeti.hana jipya
 
Nina mashaka na hii "best artist ever" bado sana kwa ROMA kuwa best artist ever,
kuna ambavyo vinamsaidia roma kupanda chati, ki2 kikubwa ana bahati ya kupendwa(nyota inang'aa)

anajua kuandika sana lakini tatizo lake anaimba kwa style ambayo inachosha, ukiliza mechi za ugenini, mathematics na hata hii 2030 style ya uimbaji haibadiliki,

kama angekuwa anaimba kwa style aliyoimba nyimbo ya mvua na jua rmx akiwa na jmo, ningekubali kidogo kwamba ni best artist,

lakini kwa kutuambia eti best artist every in tz, nakupinga kwa % zote, labda kama ni mapenzi binafsi.
 
Halafu jamaa lazim ataje majina ya watu nyimbo nzima mwamzo mwisho...sijaona real talent bado.
 
,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu mwimbaji. Haya yalikua maneno ya babaangu mzazi jinsi alivovutiwa na wimbo wa roma hadi kutaka albm zake jamaa anastahili heshima ya juu pesi ilimaliza ugomvi baina ya ruge na sugu hahahaaa
Kwahiyo huyu ROMA anaimba Kiitaliano!!??
 
Roma sio msanii mkali ni mwanaharakati tu anejua kukusanya matukio na kuyaandikia mistari kwa vina bass
 
Roma ni Gazeti...kiuandishi bado sana hamna tofauti ya kusoma gazeti na kumsikiliza roma
unajua kwa nini midundo yake ina kick nyingi?...kwa sababu hajui kunata na midundo..

wanatupa ubao tuchonge jeneza, tusonge tunavyoweza-Hashim dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom