R. I. P. Steina Smith Mrema

chokambayaa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
543
69
Mtanzania mwenzetu, ndugu yetu, rafiki yetu na jamaa yetu alifarika huko marekani
anategemewa kusafirishwa kesho kutokea Marekani na hatimaye kupunzishwa huko
nyumbani kwao Moshi kijiji cha Mbokomu siku ya Alhamisi (05/01/2012).

Sisi tulimpenda ila MUNGU alimpenda zaidi
mungu ailaze peponi roho ya marehemu
Amina!
 
rip mrema
aisee huu upendo wako ni wa agape aisee hadi kwenye msiba uko na shangwe hivi
 
Mungu hausiki katika kuugua au katika kufa kwa mwanadam ila katika Dhambi ya Adam na Eva imetufikisha hapa tulipo.Kila nafsi itaonja mauti.katika mauti hayo kutakua na mgawanyo aliye mwema na mbaya.
 
RIP kaka Steina, dah kweli ni huzuni. Nakukumbuka ulipotuacha shule Morogoro.

MUNGU ailaze roho yako penya mapumziko ya milele.
 
Ni vizuri mtu unapotoa habari kama hii uweke walau kwa kifupi wasifu wa muhusika kwa wasio mfahamu coz sio wote tunaomfahamu nadhani inakuwa ni heshima pia hata kwa marehemu kuliko kuandika tu hivi na kuacha.
 
Back
Top Bottom