R.I.P mwanaJF!

Mungu alitoa na Mungu ametwaa,jina lake lihidimiwe,apumzike kwa amani.Amina
 
Asante, hakuwahi kuniambia kama ni member wa JF.
Shida iko hapo...Usiri too much huu si mzuri...Tungemjua tungeweka hata bandiko lake moja hapa just for commemoration!...AnyOne out there, make sure kuwa rafiki mmoja au wawili wanakujua in both names(ki-JF na kimtaa)
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.Amen.Ila tungefanikiwa kujua alikuwa anatumia ID gani ingekuwa vizuri sana..Tusije tukaanzisha sredi za kutafutana hapa kumbe mtu alishafariki..MUNGU epushia mbali.
 
RIP BROTHER- well me i thought administraters wa JF wana jina la kila mtu humu ukumbini-if not the case then i am baffled cause whatever happens to me naamini my proper name iko JF
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi na kuwapa nguvu na faraja ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa marehemu katika kipindi hiki kigumu kwao.
 
Shida iko hapo...Usiri too much huu si mzuri...Tungemjua tungeweka hata bandiko lake moja hapa just for commemoration!...AnyOne out there, make sure kuwa rafiki mmoja au wawili wanakujua in both names(ki-JF na kimtaa)

Hivi wakati ule mnafanya vikao vya safari hakuwahi kuja? Sasa kaka tufanyeje kwenye hili swala la usiri? hivi wakati mtu anajiunga na JF si kuna mahali information zake zinakuwepo au?
 
Ndio nilikuwa nafanya sensa sasa ya watu nnaowajua na waliokuwa wanaomba kuwepo kwenye ile safari hapa...Waliokuwapo kwenye vikao wote wapo hewani, ila kuna wengine ambao waliconfirm kwa simu kuwa wangekuwepo, lakini hadi tarehe hizo 24/12 sikupata kuwasikia tena...!
Haya mambo bana yanatisha kidogo...anyway tutajua tu!
 
Mtu anapojiunga anaweka E-mail address yake tu kule...hakuna majina halisi...Sasa email address si lazima iendane na majina ya mtu, ingawaje mara nyingine inakuwa hivyo!
Anyway, kwavile mods wanaona hii maneno, huenda wakasearch na kutuambia ID yake proper!
 
Inawezekana Uongozi JF ukawa unamfahamu.Kwahiyo hakuna hata mwana JF mmoja aliyeshiriki mazishi akiwakilisha JF?jamani inahuzunisha.
 
Kwa kweli yanatisha haswa, kuna umuhimu wa watu tunaofahamiana kuwa tunajuliana hali,ili linapotokea la kutokea unakuta mtu mmoja ana taarifa za huyo mtu, ulijaribu kumwuliza crashwise kama alikua anajua jina alilokuwa anatumia huku JF?
 
Mtu anapojiunga anaweka E-mail address yake tu kule...hakuna majina halisi...Sasa email address si lazima iendane na majina ya mtu, ingawaje mara nyingine inakuwa hivyo!
Anyway, kwavile mods wanaona hii maneno, huenda wakasearch na kutuambia ID yake proper!

Hivi kwani hatuwezi kuwasiliana na mods wakasearch na kutupa info zake?
 
Inawezekana Uongozi JF ukawa unamfahamu.Kwahiyo hakuna hata mwana JF mmoja aliyeshiriki mazishi akiwakilisha JF?jamani inahuzunisha.
Mheshimiwa Regia,
Kwa sisi tunaojuana hakuna aliyeenda kunako mazshi yake, labda basi kama kuna aliyeshiriki amekalia kimya jambo zito hili!
Nawasifu sana watu kama wewe ambao mnatumia majina yenu halisi...Kuna advantage ambayo wengi wetu tunakuwa wazito kupokea kutokana na aidha kurithi tu hali hiyo, au kutokuwa na uhakika WA source za yale tunayobandika hapa...
 
Back
Top Bottom