Mb 390 kwa dk 20 speed ya kobe hiyo kaka..
Sasa heavy user tunae mzungumZia hapa hyo speed haitosh..mie nawaza kushusha battlefield 1 hapa ina gb 49 si ntakaa wiki mbili na hyo speed.
Moviez nashusha 1080p almost 2gb per movie nahitaj not less than1MBs..Airtel hawana hiyo speed
Still coverage ya 3g mbovu kwa maeneo meng...hyo modem speed yake ngapSpeed ya Airtel. Tafuta modem yenye uwezo wa DC-HSPA+ kama huawei e3372. Mimi ndio natumia hio
HSPA+ up to 21MbpsStill coverage ya 3g mbovu kwa maeneo meng...hyo modem speed yake ngap
Line ya Halotel ya chuo kipo 10,000/= unapata GB 10 kwa mwezi.2.8GB per day != Heavy Internet User
2000 per day means kama utaunga kila siku Total monthly cost itakua around 60,000/=
Kuna Bundle za Unlimited zinacheza kwenye 70,000/= kwa Smile na Smart nafikiri
Unaweka torrents zako nyingi hiyo SAA 6 usiku unaunga modem yako ya HALOTEL unaenda kulala.Ukiamka unazikuta zinafanya seeding!Hulali usiku?
Sajili laini ya chuo halotel jero mb 600 wiki
*148*55# ila lain iwe ya chuoUnajiungaje
Vpn atumii mb auTumia vpn
Vodacom ni wezi sana wa mb niliwahi kujiunga kifurushi cha gb moja nikawa naangalia mpira live stream nikashangaa kifurushi kimeishia kipindi cha kwanza tu. Wakati nimezoea kuangalia mechi mpaka inaisha kwa GB moja na bado zinabakia MB nyingi tu kwa kifurushi cha airtel. Japokuwa hakukuwa na buffering kabisa hadi GB kipindi hiko cha kwanza na kifurushi kikaishi kipindi hiko hikoVodacom nawapenda na kwa spidi zao za 5MBs wamenzoesha vibaya nashindwa kutumia mtandao mwingine siku hizi kwa sababu ya spidi zao za KBs (ukishazoea kushusha movie kwa dakika 4) huwezi rudi kwenye life la kusubiri, lakini bundle zao hapana sema ukweli sijui tunawapi pakukimbilia maana kila kukicha vifurushi vinapungua..
Halotel ndio hivyo, Ttcl naye yupo faster but vifurushi sio rafiki, airtel kwetu hata 200KBs haupati, Tigo bora uache.
haujaibiwa, ulipelekwa tu stream ya quality kubwa, mimi nikiwa na bundle nzuri natumia 2GB hadi 4GB kuangalia mechi moja tu kwa full HD.Vodacom ni wezi sana wa mb niliwahi kujiunga kifurushi cha gb moja nikawa naangalia mpira live stream nikashangaa kifurushi kimeishia kipindi cha kwanza tu. Wakati nimezoea kuangalia mechi mpaka inaisha kwa GB moja na bado zinabakia MB nyingi tu kwa kifurushi cha airtel. Japokuwa hakukuwa na buffering kabisa hadi GB kipindi hiko cha kwanza na kifurushi kikaishi kipindi hiko hiko
Siku hizi ni 500MB sio 600MB kama zamani.Sajili laini ya chuo halotel jero mb 600 wiki
Vodacom ni wezi sana wa mb niliwahi kujiunga kifurushi cha gb moja nikawa naangalia mpira live stream nikashangaa kifurushi kimeishia kipindi cha kwanza tu. Wakati nimezoea kuangalia mechi mpaka inaisha kwa GB moja na bado zinabakia MB nyingi tu kwa kifurushi cha airtel. Japokuwa hakukuwa na buffering kabisa hadi GB kipindi hiko cha kwanza na kifurushi kikaishi kipindi hiko hiko
Usijali mkuu tunahama tu. Me voda naachana na voda kabisa makato ni makali sana.yan walianza na gb18-kwa 1500 usiku sasa wakapunguza mpka 10gb wanakoelekea wanataka wafanane na mitandao uchwara mingine
Mkuu menyu yake naipataje mana nimekipenda somehowmm kifurush changu pendwa cha GB 10 kwa 1500 usiku tu wamekiacha salama ....
asanteni halotel