Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Hii ni Hadithi,sio Qur'an,tofautisha Qur'an na Hadithi.,Hadithi ziko sahihi nz zisizosahihi.Bi Khadija(mke wa Mtume,alikuwa Kiongozi,na Mtume alifanyakazi chini yake(Biashara),na biashara ilikuwa kubwa sana,ya Ku export bidhaa nje ya nchi.
Waislamu pia,wanafuata Maelekezo mengi ya Hadithi zilizo sahihi,kutoka kwa Mtume,kupitia Bi Aisha(mwanamke).
Tena bi Aisha ndo haifai kabisa kumsikiliza. Alimsingiza mengi mtume... Alidai aliwahi kupigwa naye. Alidai aliwahi kumwona mtume anavaa nguo zake na kumwona anakojoa amechuchumaa.
 
tuseme tu ukweli hata humu ndani ni nani anaweza kumheshimu Mwanamke? hata kama ana akili kama Mchwa.Hata Mwanamke pekee hawezi muheshimu Mwanamke mwenzake vp mwanaume anawezaje?
 
Hakuna ukweli wowote hapo, na tena ni kinyume chake.

Ujerumani ilikuwa bora zaidi kwa Angela Michael na hakuna Uingereza bora kushinda enzi za Magret Tharcher, unasemaje ndg mfagilia mfumedume?
Hata Golda Maire alikuwa Iron Lady wa Israel. Alikuwa mwanzilishi wa State of Israel na baadaye AKAWA Prime minister wa Israel wakati wa vita na waarabu. Lakini usi linganishe usiku wa mbalamwezi na mchana. Samia ni usiku wa mbalamwezi na kamwe hawezi kuwa mchana. Kama ameshindwa kuitoa nchi kwenye kiza cha kukatika umeme, ameshindwa kumaliza uhaba wa sukari na mambo madogo madogo kama hayo. Uta mlinganishaje na Iron ladies kama Thatcher, Angela Merkel, Golda Maire. Oh please!!
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Hizo ni hadithi za abunuwasi. Nani kaandika hayo maneno? Kwanza ujue hayo ni mambo ya imani, mpk uamini. Sisi wengine kwanza hatukifahamu hicho kitabu.
 
Hata Golda Maire alikuwa Iron Lady wa Israel. Alikuwa mwanzilishi wa State of Israel na baadaye AKAWA Prime minister wa Israel wakati wa vita na waarabu. Lakini usi linganishe usiku wa mbalamwezi na mchana. Samia ni usiku wa mbalamwezi na kamwe hawezi kuwa mchana. Kama ameshindwa kuitoa nchi kwenye kiza cha kukatika umeme, ameshindwa kumaliza uhaba wa sukari na mambo madogo madogo kama hayo. Uta mlinganishaje na Iron ladies kama Thatcher, Angela Merkel, Golda Maire. Oh please!!
Are we talking about women in general, or about Her Excellency, Samia Suluhu Hassan?

The topic is about the Islamic verse, that women can not lead.
 
Back
Top Bottom