Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

Screenshot_2024-02-19-07-57-43-242_com.twitter.android~2.jpg
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Unasema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Hii ni Qur'an au hadith? 🤔
 
Inabidi kuangalia na kipindi ambacho imetoka? Na mwaka tarehe na mtoaji? Na maslahi?
Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.

Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.

Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,

Yakiwa na nia ya kumnyanyapaa mwanamke na kuendekeza mfumodume.
 
Hadith jomba iyo ni wakati wa vita soma alama za nyakati ,mapokeo ya hadith,kipind gani imetoka?
Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.

Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.

Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?
NI vyema kujifunza au kufanya utafiti wa jambo kabla kuliweka bayana......

Quran sio hadith
Asante kwa ufafanuzi, nilikuwa nimeshaanza kuyadiscourage hayo maandiko.
 
Back
Top Bottom