Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,077
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
 
Hivi unaelewa hata ulichoandika?
Israel ni Ardhi ya Wayahudi ndio, nani amebisha? Yaani Israel kama taifa ni la Wayahudi, liko wazi hili mbona?

Kwani Palestine wanataka kukaa kwenye ardhi ya Israel?
 
Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran,
Shosti Faiz analijua hili!?
 
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
 
Uislamu ulianza lini mkuu?
Naomba toa jibu lako unukuu Quran tukufu sio maneno ya Sheikh Mazinde
 
Hivi unaelewa hata ulichoandika?
Israel ni Ardhi ya Wayahudi ndio, nani amebisha? Yaani Israel kama taifa ni la Wayahudi, liko wazi hili mbona?

Kwani Palestine wanataka kukaa kwenye ardhi ya Israel?
Uwe unasoma, ujitahidi kuelewa na ufanye tafakari kabla ya kujibu.

Haya, niambie wewe, nchi ya Israel kama haipo kwenye eneo iliyopo, ipo wapi hapa Duniani?
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Ibrahim alikuwa muislamu?
Suleiman alijenga msikiti?
Hahahaaaa!
 
Dini ya kiyahudi ilikuwepo miaka elfu nyingi, hata kabla ya Yesu. Ukristo umekuwepo kwa takribani miaka 2,000. Usilam upo kwa takriban miaka 600. Sasa Waislam kuyataka maeneo matakatifu ya Wayahudi, kama eneo lilipokuwa hekalu enzi za mfalme Suleman, au hata maeneo yale ya Betlehem alikozaliwa Yesu kabla ya uislam kuanza, ni nani anayetaka kufuta historia za wenzake?

Hata yale maneno ya kudai eti Adam na Ibrahim alikuwa muislam, Isaka alikuwa muislam au Yakobo alikuwa muislam, ni faraja za uwongo. Yaani watu wawe waislam kabla ya uislam kuwepo? Kwa mwenye akili, hata kama ni muislam, atajua ni uwongo.

Uislam umeanzishwa na Muhamad miaka 600 tu iliyopita.
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Mi nikajua uislamu ulianzia huko macca na madina , kumbe ulianzia palestina tena!!! Basi hii dunia kuna mengi ya kujifunza
 
Nipo naangalia TV IMAAN hapa wanaongelea mgogoro wa Palestine. Jamaa mmoja anasema kuwa UN ilianzishwa na Wayahudi (Israel) na marekani pia ni mtoto wa Wayahudi.

END
PXL_20231217_200850213.jpg
 
Ibrahim alikuwa muislamu?
Suleiman alijenga msikiti?
Hahahaaaa!
Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe ismail na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
 
Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe is haka na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
Sasa wakati huo wa nabii ibrahim na suleman kwani uislamu ulikuwa umeshaanza?? Au kulikiwa na dini gani?? Mimi nikawa najua uislamu umeanza mwaka wa 600's Baada ya kuja kwa mtume muhammad S.A.W
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Kwasababu waislam waliiba hilo eneo basi kurudisha Kwa wenyewe imekuwa tabu sana
 
Back
Top Bottom