Qualification std 1

Jalala

Member
Apr 15, 2010
47
18
Dear wana jamii Forum, mtoto wangu atakuwa miaka 5 na nusu Jan, nilitamani awe darasa la kwanza Jan lakini kuna vitu bado hajavifahamu kama handwriting sio nzuri japo anaandika na kusoma bado anaweza kusoma 3words letter, naomba ushauri nimpeleke darasa la kwanza hivyo hivyo atajua mbele kwa mbele au aendelee na nusery school ( pre unit) naomba ushauri kwa wenye uzoefu
 
Back
Top Bottom