Qatar tangu lini mliipenda Tanzania kiasi hiki?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

Oman ni taifa kubwa sana na historia kubwa, unawadhalilisha kwa kuwafananisha na Qatar.

Oman wamewahi kutawala pwani yote ya Afrika mashariki na kuweka mji mkuu wao Zanzibar kwa upande wa kusini, na kaskazini walifika baadhi ya maeneo ya Iran na Pakistan.
 
Mkuu umeandika. Nakushauri fanya mambo kwa wastani kwani unaweza kujikuta unapata uchizi kwa mambo madogo tu. Hizi nchi zilikuwepo na zitaendelea kuwepo bila kujali wewe utakuwepo au la. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Oman ni taifa kubwa sana na historia kubwa, unawadhalilisha kwa kuwafananisha na Qatar.

Oman wamewahi kutawala pwani yote ya Afrika mashariki na kuweka mji mkuu wao Zanzibar kwa upande wa kusini, na kaskazini walifika baadhi ya maeneo ya Iran na Pakistan.
Hii nayo ni sifa?
How come mtu unajisifu kutawaliwa na jamii fulani
 
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

Wewe ulitakaje kwa mfano? Wasifanye chochote?
 
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

Wewe taahira wa CHADEMA kuna wakati uwe unafikiri kabla ya kupost ushuzi.
 
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

Watu wana shangilia bila kujua madhara yake.
Hawa Waarabu wamesha uziwa kila mahali.
 
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

..........Penyeza rupia
 
View attachment 2909683Chambo hicho waarabu wameturushia I kaeni chonjo!​
Chambo hicho!

Serikali ya Samia lazima inase!
 
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang.

Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo.

Wana Hanang wamefaidika lakini kwa wana Ngorongoro maumivu ni makubwa sana.

Huu ni urafiki wa kweli au ni ule wa nipe nikupe?

ilo dege litarudi na wanyama wetu.
 
Back
Top Bottom