Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

kuna 'tension' kati ya wananchi na serikali,chanzo cha tatizo serikali Ime ignore matatizo yao ya msingi,wanaleta ubabe kupeleka majeshi huko,,,,,,,,,anyway walikua wanamsifia JF,Mwigulu kichwa kasoma Ilboru................haya tuone
Kwahiyo una furahia watu kuuliwa...swala sio matatizo yao.km matatizo vijiji vingapi vina matatizo tanzania...
The thing is hao watu ni magaidi..na wanachofanya ni kutifanyia intro...na alertness kuwa tupo...na sina shaka wako katika majaribio..
Usishangae wakaanza kusogea kdogo kidgo cz washatusoma kuwa hatuwawezi..so watch out..leo yaweza kuwa kibiti..kesho wakakufata kkoo au hata mlimani city...
Hawa wameamua...mbona they dont demand anything once wakifanya tukio..jiulize...
Alshabab..boko haram in the making....
 
Kwanini hawa jamaa hawatoi sababu....shida yao nini..

Mbona wenzao al shaabab na boko haram madai yao yanajulikana..
Hawa kenge wanaua tu..
Wapuuzi sana.
MIMI skubaliani na suala la kuposit picha za marehemu kwenye page,hii TCRA wangefanya kama Wingereza ilivyotokea,
jiulize kama ni wewe ndugu yako amefariki halafu unaingia kama hapa jamii forum unakuta picha yake.utajiskiaje, halafu ukiangalia picha hizo zinaonesha kama zimepigwa usiku wakati unatua
Muda mfupi uliopita askari polisi wawili wa kikosi cha usalama Barabarani Bungu, Kibiti wamepigwa risasi na kufa papo hapo wakiwa kazini eneo kati ya Bungu na Jaribu! Walikuwa watatu, mmoja wa kike kasalimika!

=========

UPDATES:

Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.

Taarifa za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.

Tutaendelea kukujuza jina la askari huyo na namna mauaji hayo yalivyotokea hivi punde.

Chanzo: Mwananchi

UPDATES 2:

Rufiji. Askari Polisi wawili wa kikosi cha usalama wa barabarani wilayani Kibiti ambao majina yao bado hayajatambulika wapigwa risasi na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Msafiri,Kata ya Bungu wakiwa kazini.

Mbali na kupigwa risasi, pia watu hao wamechoma moto gari moja na pikipiki moja za askari hao kisha kutokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio na kusema anafuatilia.

Tukio hilo limetokea kilomita chache kutoka eneo ambalo waliuawa askari polisi wanane kwa kupigwa risasi katika eneo la Mkengeni walipokuwa wakitoka doria katika Kijiji cha Jaribu.
View attachment 528379
MIMI skubaliani na suala la kuposit picha za marehemu kwenye page,hii TCRA wangefanya kama Wingereza ilivyotokea,
jiulize kama ni wewe ndugu yako amefariki halafu unaingia kama hapa jamii forum unakuta picha yake.utajiskiaje.???
 
Kwenye haya matukio siamini kama raia watakuwa wanajua wahusika... Haya mauwaji huwezi kuyahusisha na matukio ya kidini maana wanao uwawa ni viogozi wa serikali...
 
Tuliambiwa kuna Mgambo wangewadhibiti... ikashindikana.

Wakaja FFU ambao tunawaamini sana kwenye vurugu na fujo....Wakatandikwa 8 tena na mtu mmoja na akawanyang'anya silaha zote.

Haya sasa wameenda JW, bado jamaa wanaendelea kuua askari wetu...hawa watu watakuwa na mafunzo ya aina yake na wana stock kubwa ya silaha sio bure.

Hao Matraffic ambao wanapanda juu ya miti na vichakani na tochi zao za overspeed watapukutishwa sana la si hivyo wadadilishe utaratibu wao.

Poleni sana ndugu wa wafiwa.
Bila shaka watakua wana test effectiveness ya askari wetu wa tz....wakishaona wanawaweza waje wafanye makubwa zaidi....
JWTZ huko walipo inabidi wajitahidi kusolve mana wao ndio jeshi la mwsho tunalolitegemea wakishindwa wao then we are all DEAD
 
Matukio haya yamenikumbusha jambo. Katika miaka ya 1970 Nyerere alipiga marufuku dini inayoitwa Watch Tower kwa vile ilikuwa inafundisha mambo yaliyokinyume cha ubinadamu. Hivyo, sasa ni wakati wa kuangalia upya namna ya kushughulikia SATANIC VERSES IN THE QORAN AND BIBLE. Haiwezekanin dini za kigeni zitufarakanishe halafu tuelendelee kuwa bubu juu ya hizi haya. Sijui jino kwa jino, oh! ukiua kwa jina la Mtume unakwenda Mbinguni, mara utumwa ni agizo la Mungu, etc etc. Hii ni mistari ya kishetani. Wakati umefika sasa viongozi wa dini waelekezwe kuhariri vitabu vyao na kuziondoa mara moja.

There are many satanic verses in the Bible. Here are 17 incredibly evil verses, taken from a single chapter:

Deuteronomy 22

Deuteronomy 22:13-21: If a man takes a wife but begins to "hate" her, he can claim that she was not a virgin on her wedding night. If she cannot prove her virginity by producing blood-stained "tokens" of her virginity, the men should stone her to death, a truly horrible method of execution. Of course not all women bleed the first time they have sex, so this is not only evil, but sheer barbaric folly.

Deuteronomy 22:22: Kill people for having sex.

Deuteronomy 22:23-24: If a girl or woman is raped anywhere except in a field, assume that she could have cried out for help but didn't, then stone her to death on this bizarre and wildly unjust assumption.

Deuteronomy 22:25-27: If a girl or woman is raped in a field, assume that no one could have heard her, so let her live. In other words, rape victims are guilty if they can possibly be heard, taking no thought for the fact that the rapists might have gagged them, or knocked them unconscious, or held knives to their throats, or terrified them into silence.

Deuteronomy 22:28-29: If a girl or woman is not betrothed to anyone and is raped, her rapist can buy her as a sex slave by making a cash payment to her father. If he does this, he is responsible for "taking care of her" from that point on.


1. God drowns the whole earth. In Genesis 7:21-23 , God drowns the entire population of the earth: men, women, children, fetuses, and perhaps unicorns. Only a single family survives. In Matthew 24:37-42, Jesus approves of this genocide and plans to repeat it when he returns.

2. God kills half a million people. In 2 Chronicles 13:15-18, God helps the men of Judah kill 500,000 of their fellow Israelites.

3. God slaughters all Egyptian firstborn. In Exodus 12:29, God the baby-killer slaughters all Egyptian firstborn children and cattle after hardening the Pharaoh's heart to make him want to keep the Hebrews as slaves, then killing innocents in a grotesque pissing contest for alpha male supremacy.

4. In Numbers 16:41-49, the Israelites complain that God is killing too many of them. In response, God sends a plague that kills 14,000 more of them.

5. Genocide after genocide after genocide. In Joshua 6:20-21, God helps the Israelites destroy Jericho, killing “men and women, young and old, cattle, sheep and donkeys.” In Deuteronomy 2:32-35, God has the Israelites kill everyone in Heshbon, including children. In Deuteronomy 3:3-7, God has the Israelites do the same to the people of Bashan. In Numbers 31:7-18, the Israelites kill all the Midianites except for the virgins, whom they take as spoils of war. In 1 Samuel 15:1-9, God tells the Israelites to kill all the Amalekites – men, women, children, infants, and their cattle – for something the Amalekites’ ancestors had done 400 years earlier.

6. God kills 50,000 people for curiosity. In 1 Samuel 6:19, God kills 50,000 men for peeking into the ark of the covenant. (Newer cosmetic translations count only 70 deaths, but their text notes admit that the best and earliest manuscripts put the number at 50,070.)

7. In Exodus 32, God commands Moses: “Each man strap a sword to his side. Go back and forth through the camp from one end to the other, each killing his brother and friend and neighbor.” About 3,000 people died.

8. In Joshua 10:10-11, God helps the Israelites slaughter the Amorites by sword, then finishes them off with rocks from the sky.

9. In Genesis 19:24, God kills everyone in Sodom and Gomorrah with fire from the sky. Then God kills Lot’s wife for looking back at her burning home. But Lot is called "righteous" even though he offered his daughters to a mob of racists, then committed incest with them himself, after getting drunk. Talk about male chauvinism!

10. In 2 Kings 2:23-24, some kids tease the prophet Elisha, and God sends bears to dismember 42 of them. (Newer cosmetic translations say the bears “maul” the children, but the original Hebrew,baqa, means “to tear apart.”)

11. In Judges 21:1-23, a tribe of Israelites misses roll call, so the other Israelites kill them all except for the virgins, which they take for themselves. Still not happy, they hide in vineyards and pounce on dancing women from Shiloh to take them for themselves.

12. In Judges 16:27-30, God gives Samson strength to bring down a building to crush 3,000 members of a rival tribe in an act of suicidal terrorism.

13. In Judges 19:22-29, a mob demands to rape a "godly" master’s guest. The master offers his daughter and a concubine to them instead. They take the concubine and gang-rape her all night. The master finds her on his doorstep in the morning, cuts her into 12 pieces, and ships the pieces around the country.

14. Child sacrifice. In Judges 11:30-39, Jephthah burns his daughter alive as a sacrificial offering for God’s favor in killing the Ammonites.

15. God helps Samson kill 30 men because he lost a bet. In Judges 14:11-19, Samson loses a bet for 30 sets of clothes. The spirit of God comes upon him and he kills 30 men to steal their clothes and pay off the debt. Samson has sex with prostitutes, but God favors him as long as he never cuts his hair. But another Bible verse says that it's a shame for a man to have long hair!

16. God is murderously intolerant. In Deuteronomy 13:6-10, God commands that you must kill your wife, children, brother, and friend if they worship other gods.

17. In 2 Kings 1:9-10, Elijah gets God to burn 51 men to death with fire from heaven to prove that he is God.

18. In Genesis 38:9-10, God kills a man for refusing to impregnate his brother’s widow.

19. God commands cannibalism. In Leviticus 26:27-29 and Jeremiah 19:9, God threatens to punish the Israelites by making them eat their own children.

20. The coming slaughter. According to Revelation 9:7-19, God’s got more evil coming. God will make horse-like locusts with human heads and scorpion tails, who will torture people for five months. Then angels will kill a third of the earth’s population. Today, that would be 2 billion people.
 
Tatizo ni moja tu. Hakuna uhusiano mzuri kati ya polisi wetu na wananchi, Yote haya yanasababishwa na uonevu uliokithiri dhidi ya wananchi pamoja na upendeleo wa waziwazi katika mambo ya kisiasa.(polisi wanatumiwa vibaya na watawala kunyanyasa wananchi hususan wa vyama vya upinzani)

Ushauri: Huwezi kujenga chuki na wananchi ukabaki salama kamwe,hata ukiwa na vifaa vya kisasa kama hauna support ya wananchi ni kazi bure.
 
Muda mfupi uliopita askari polisi wawili wa kikosi cha usalama Barabarani Bungu, Kibiti wamepigwa risasi na kufa papo hapo wakiwa kazini eneo kati ya Bungu na Jaribu! Walikuwa watatu, mmoja wa kike kasalimika!

=========

UPDATES:

Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.

Taarifa za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa gari la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.

Tutaendelea kukujuza jina la askari huyo na namna mauaji hayo yalivyotokea hivi punde.

Chanzo: Mwananchi

UPDATES 2:

Rufiji. Askari Polisi wawili wa kikosi cha usalama wa barabarani wilayani Kibiti ambao majina yao bado hayajatambulika wapigwa risasi na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Msafiri,Kata ya Bungu wakiwa kazini.

Mbali na kupigwa risasi, pia watu hao wamechoma moto gari moja na pikipiki moja za askari hao kisha kutokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio na kusema anafuatilia.

Tukio hilo limetokea kilomita chache kutoka eneo ambalo waliuawa askari polisi wanane kwa kupigwa risasi katika eneo la Mkengeni walipokuwa wakitoka doria katika Kijiji cha Jaribu.
View attachment 528379
Bado hawajatambuliwa majina yao?
 
Ushauli wangu kwa wanainch wa huko wajaribu kushirikiana kuwafichua wahalifu. Fikra zangu yawezekana wahalifu wapo hapo tu,maana hatusikiii maeneo mengne?
 
Jamani tunaiomba serikali yetu ya awamu ya tano iache kujipambanua kwamba imejipanga na wachache wataumia Bali ichukue hatua kuwabaini wahalifu, nachelea kuamini taarifa mbalimbali tunazozipata, Mara vyama, Mara vijana magaidi wanaopinga dini flani sasa tuamini kipi! Na nani tumwamini! Kama hawa ni watanzania wenzetu wanaowaua raia was nchi yao wenyewe hakika laana I juu yao kwa kuua vizazi vyao wenyewe.
 
Back
Top Bottom