Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

🇷🇺🇰🇵 Vladimir Putin and Kim Jong Un have concluded their 4 hour long negotiations

Kim Jong Un has left the Vostochny Cosmodrome.

1694599758107.png

1694599964101.png
 
Kitendo cha rais wa Korea ya Kusini kumtembelea rais wa Rusia ni cha kishujaa sana na cha kupongezwa na wapenda amani kote duniani.

Nikiwa mmojawapo wa wanao iunga mkono Rusia dhidi ya uhayawani wa NATO wakiongozwa na na kibaraka wao rais wa Ukraine.

Nimependa maneno ya kishujaa kutoka kwa rais wa Korea ya Kaskazini kuwa hatutakubali uchokozi wa USA.

Hongereni sana Rais KIM na Rais VLADIMIR.

Dunia imeona na ulimwengu umeona.
 
Dunia imeona na ulimwengu umeona.View attachment 2747918
Kiduku wa Korea Kaskazini na Putin ni madikteta wendawazimu wanaotesa na kuwauwa wapinzani na wakosoaji wao.
Familia ya Kiduku ameigeuza Korea Kaskazini kuwa koloni lao.
 
Hao ni watu wanaojielewa. Mijambazi imejazana magogoni na dodoma inatafuna na kuuza nchi.
Kwa taarifa yako hao wa magogoni na dodoma lao ni moja. Ndio maana nao wa magogoni wanamuunga mkono putin. Na ndio maana nchi zao wote wa magogoni na putin hukuti chombo cha habari huru chenye kurepot bila kuipendelea serikali. Kwa putin ikitokea unarepot against na anavyotaka yeye,moja kwa moja unakuwa umejikatia tiket ya kifo na hao pia
 
Sasa wewe hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui,utaweza kujadili mambo mazito kama haya?

Unajadili mambo mazito kama haya kwa ushabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!
Basi mtakuwa mnajadili wewe na mamaako tu mliosomea lugha za kuwajadili JAMBAZI put-in na kinyago KICHAA kim jo.
Humpati mtu wa kumlazimisha awe sawa na mawazo yako ya king'ombe hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom