Putin achaguliwa kuwa Rais wa Russia

Hivi mbona Rais wetu hatembelei Russia?

SWALI LA MSINGI HILO LAKINI....

Kurugenzi ya Ikulu itakwambia Russia sio potential investor kwa inchi yetu, na ni mgumu kutoa msaada hata kwa mambo madogo kama chandarua nakadhalika. Hivyo hakuna haja ya kupoteza ela kwa safari za 'Kremlin'.
 
ni kweli nchi kama Russia haiwezi kutoa vyandarua ..
 
siasa za russia wanazijua wenyewe-
ngoja tuone putin ataleta nini kwenye hi awamu yake nyingine
 
Viva Putin.....A living threat to Americans.Am glad dat finally de coming of East and West axis is yet to come.
 
tuna hitaji marais kama Mr putin na Mr mugabe, siyo kuwalamba ****** waingereza na USA
 
Alivyokubali kuwa Waziri Mkuu niliconclude nia yake ilikuwa kuupata Urais tena. hata hivyo nampongeza kwa kutumia busara kuliko mwenzie Wade wa Senegal ambaye amelazimishia!!
sasa ni zamu ya Ben naye kurudi kuchukua urais wa Tz..

uNYAluhala kama mchwa
 
Kinyume na matarajio ya US. Walihangaika kumchafua haikusaidi, sasa wamekuja na mpya kuwa kuna watu wamepiga kura mara mbili.
 
Alivyokubali kuwa Waziri Mkuu niliconclude nia yake ilikuwa kuupata Urais tena. hata hivyo nampongeza kwa kutumia busara kuliko mwenzie Wade wa Senegal ambaye amelazimishia!!
sasa ni zamu ya Ben naye kurudi kuchukua urais wa Tz..

Nilishtuka sana nilipoona hilo jina.....!
 
Back
Top Bottom