Putin achaguliwa kuwa Rais wa Russia

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Upigaji kura wa kumchagua Rais wa Russia umemalizika hivi punde na tayari habari ni kwamba Putin amechaguliwa kuwa Rais ya Russia kwa mara ya tatu. Kwa mujibu wa TV ya taifa ya Russia, exit poll inaonyesha kuwa Putin atashinda kwa asimilia 58.3.
 
Hongera zake,mchapa kazi huyu,kwa maslahi ya nchi yake.Ndo maana wananchi wa Russe wanammaindi
 
Yes,
Warusi wanampenda sana, na marekani inamuogopa sana Putin kuliko anayeondoka Medvedev
 
Ili kulinda kura, ziliwekwa live webcams 200,000.:A S-coffee:

i88a765d5256808a0ff706c6ec96d9d0f_russian-poll-monitoring-monitors.n.jpg


Camera hizo ziligharimu kiasi cha US$ 300 Milion.....
 
Opposition groups have reported widespread fraud, with many people voting more than once. They have called for mass protests in central Moscow on Monday. Meanwhile, thousands of supporters of Putin have gathered with Russian flags and banners outside the Kremlin for a concert to celebrate his victory
 
Alivyokubali kuwa Waziri Mkuu niliconclude nia yake ilikuwa kuupata Urais tena. hata hivyo nampongeza kwa kutumia busara kuliko mwenzie Wade wa Senegal ambaye amelazimishia!!
sasa ni zamu ya Ben naye kurudi kuchukua urais wa Tz..
 
Upigaji kura wa kumchagua Rais wa Russia umemalizika hivi punde na tayari habari ni kwamba Putin amechaguliwa kuwa Rais ya Russia kwa mara ya tatu. Kwa mujibu wa TV ya taifa ya Russia, exit poll inaonyesha kuwa Putin atashinda kwa asimilia 58.3.
jamaa ana 62.3,anaemfuatia 17.
 
huyu jamaa waga namkubali sana na warusi wengi wanaamini ndo mtu pekee anaye weza kuivusha urusi, na wanacho taka kutoka kwake ni uwezo wa kulinda silaha zao za maangamizi kama unavyo jua urusi ana hazina kubwa sana ya silaha za kinyukilia ambazo zinahitaji mtu wa kipekee kuzilinda.

Na wamarekani wanahofia msimamo mkali sana wa putini make hana utani na kuna kipindi alitishia kuzitwanga nchi za ulaya
,
 
Kama ni kwa mara ya 3 nchini kwake kuna democrasia ya kweli?
 
Seemingly in an attempt to display his statesmanship potential, Republican presidential candidate Mitt Romney wades into deep foreign policy waters by revealing strong views on Iraq, North Korea and particularly Russian Prime Minister Vladimir Putin

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom