there were "rocking" front of the cathedral ..lolKabla ya kufika kwenye kukosea sana, tuanze na walichokosea kwanza.
Walikosea nini?
Kabla ya kufika kwenye kukosea sana, tuanze na walichokosea kwanza.
Walikosea nini?
there were "rocking" front of the cathedral ..lol
were convicted on charges of hooliganism driven by religious hatred.
Binafsi si dhani kama hilo ni kosa la kumfunga mtu miaka miwili jela.
kuimba mbele ya cathedral ...

afrodenzi mambo? Nakumiss
. Back to the topic ..wale wadada walikosea sana na kwa sheria za Russia walitakiwa waende jela miaka 15 sema basi tu walipunguziwa kifungo. Russia kanisa lao ni kama serikali na watu wanaoliongoza kanisa wana nguvu kisiasa indirect na makao makuu ya kanisa lao yapo Kremlin ambayo ndio ikulu ya urusi.
dah... Too bad. Na huku tulianzishe kuwatetea. I can be a naked cowboy with my guitar.
Hahah mimi nitampa afro d mwavuli kama huo hapo juu
hata mi nimeku miss sana ..
lakini ngoja tugombane kwanza halafu tutarudi ku missiana hahahahah lol
swali ni kwamba kuna sheria Russia inayosema hauruhusiwi kuimba mbele ya hiyo Cathedral??
au hawa walifungwa ajili ya mambo mengine ya ki siasa??
Hahahaha.
S.I mwavuli ulioandikwa hivyo kabisa au? Na kwanza umeupata wapi?
dahhhh huku kwetu tukianzisha kama hilo mmhh
hata mahakamani hupelekwi polisi wanaku miminia risasi tu ..
ukiwa "naked" ndo balaa zaidi...
Tunauandika wenyewe "free pussy"
dahhhh huku kwetu tukianzisha kama hilo mmhh
hata mahakamani hupelekwi polisi wanaku miminia risasi tu ..
ukiwa "naked" ndo balaa zaidi...