Pussy Riot Protest

Kabla ya kufika kwenye kukosea sana, tuanze na walichokosea kwanza.

Walikosea nini?
there were "rocking" front of the cathedral ..lol :)
were convicted on charges of hooliganism driven by religious hatred.

Binafsi si dhani kama hilo ni kosa la kumfunga mtu miaka miwili jela.
kuimba mbele ya cathedral ...
 
Google utapata fully story. In short waliingilia siasa na kwenda ku perform kwenye kanisa la orthodox la kina Putin hili ni kosa kubwa sana kwa sheria zao. Kumbuka issue yoyote ikishagusa siasa hata kama wewe huna kosa ila hutatoka kirahisi.
 
there were "rocking" front of the cathedral ..lol :)
were convicted on charges of hooliganism driven by religious hatred.

Binafsi si dhani kama hilo ni kosa la kumfunga mtu miaka miwili jela.
kuimba mbele ya cathedral ...

afrodenzi mambo? Nakumiss
. Back to the topic ..wale wadada walikosea sana na kwa sheria za Russia walitakiwa waende jela miaka 15 sema basi tu walipunguziwa kifungo. Russia kanisa lao ni kama serikali na watu wanaoliongoza kanisa wana nguvu kisiasa indirect na makao makuu ya kanisa lao yapo Kremlin ambayo ndio ikulu ya urusi.
 
Last edited by a moderator:
there were "rocking" front of the cathedral ..lol :)
were convicted on charges of hooliganism driven by religious hatred.

Binafsi si dhani kama hilo ni kosa la kumfunga mtu miaka miwili jela.
kuimba mbele ya cathedral ...

dah... Too bad. Na huku tulianzishe kuwatetea. I can be a naked cowboy with my guitar.
 
afrodenzi mambo? Nakumiss
. Back to the topic ..wale wadada walikosea sana na kwa sheria za Russia walitakiwa waende jela miaka 15 sema basi tu walipunguziwa kifungo. Russia kanisa lao ni kama serikali na watu wanaoliongoza kanisa wana nguvu kisiasa indirect na makao makuu ya kanisa lao yapo Kremlin ambayo ndio ikulu ya urusi.

hata mi nimeku miss sana ..
lakini ngoja tugombane kwanza halafu tutarudi ku missiana hahahahah lol

swali ni kwamba kuna sheria Russia inayosema hauruhusiwi kuimba mbele ya hiyo Cathedral??
au hawa walifungwa ajili ya mambo mengine ya ki siasa??
 
dah... Too bad. Na huku tulianzishe kuwatetea. I can be a naked cowboy with my guitar.

dahhhh huku kwetu tukianzisha kama hilo mmhh
hata mahakamani hupelekwi polisi wanaku miminia risasi tu ..
ukiwa "naked" ndo balaa zaidi...
 
hata mi nimeku miss sana ..
lakini ngoja tugombane kwanza halafu tutarudi ku missiana hahahahah lol

swali ni kwamba kuna sheria Russia inayosema hauruhusiwi kuimba mbele ya hiyo Cathedral??
au hawa walifungwa ajili ya mambo mengine ya ki siasa??

haya mambo yaliingiliana kisiasa zaidi na si unajua wewe fanya ufanyalo ila ukishagusa kwenye siasa basi wanakupoteza.. ilikuwa ni mtiririko wa kumpinga PUTIN asirudi tena kuendelea na urais
 
dahhhh huku kwetu tukianzisha kama hilo mmhh
hata mahakamani hupelekwi polisi wanaku miminia risasi tu ..
ukiwa "naked" ndo balaa zaidi...

Hahahahaaa. Yes my sister. Wanakuona mwehu. Tena hawachelewi kukupa bomu la tumbo. LOL!
 
dahhhh huku kwetu tukianzisha kama hilo mmhh
hata mahakamani hupelekwi polisi wanaku miminia risasi tu ..
ukiwa "naked" ndo balaa zaidi...

Huku kwetu mara mtu katolewa meno na koleo , mara wamempiga risasi muuza magazeti sijui msoma magazeeti. Ila ndio hivyo wenzetu ni wakorofi ila hadi wakuue ni issue sana watakuweka ndani tu. Wale wangekuwa bongo ungesikia mengine ama wangepigwa mabomu ya matumbo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom