German shepherd
New Member
- Mar 26, 2019
- 3
- 2
Habari wadau puppy wanauzwa wapo wa 4 wote ni madume wana umri wa mwezi 1 na siku 4.Wamepata chanjo Dhlp. Kadi zao zipo pichani ni mama yao na baba yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app