Punyeto ilinitesa sana nikafanya hivi kuacha

From Meru

JF-Expert Member
May 19, 2023
2,378
5,230
Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi kuoga nipande kitandani niendelee na shughuli hapo kitandani. hapo sitanyetuka. lakini la haula! nichelewe kuoga tu kosa lazima nipige.

sasa nilivyogundua usiku ukifika nikioga tu basi nyeto sipigi ukawa ndio utaratibu wangu najiwahi naoga nyeto inakufa. nikaenda mwaka mzima utaratibu ni huo nikajikuta nimeacha mazima.

kwa kweli nyeto sio nzuri unakua kijana mdogo unaumwa mgongo, unaumwa kiuno, unaumwa visigino, ilikua nikipiga gitaa la solo usiku kucha gitaa linauma usingizi unakua wa mateso bila chuki, nguvu za mwili zinapungua.

ikiwa inafaa vijana mjaribu muache nyeto. sisi zamani ilikua tunaogopa ukimwi hakukua na arv. sasa muna arv. kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom