kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 728
Sitetei Punda kubakwa, ila nashukuru angalau walitumia condoms, manake sijui lingekuja gonjwa gani toka kwa huyo mnyama. Hawa jamaa wakamatwe, wakapimwe akili, afya na kisha watupwe lupango huko ndo yawe makazi yao ya kudumu.