PUGU nadhani JUMA WASISI mnamsoma......

mambo ya pond we acha tu,mambo ya kuvizia mademu wa taasisi pale kisumu au dukan kwa mwombeki,mambo ya mihogo mwisho wa lami,na kupandisha kilima cha baghdad kuwah rowcallt.hv shule ya taasisi bado ipo?
 
Pugu boyz bwana,kuoga ilikua kazi hadi usikie unanata,kuwa kiranja wa ulinzi hadi uwe unabeba nondo ili uwashikishe adabu wezi,TV ya shule ipo ila cku Nampanda akiunganisha anachukua kingilio mlangoni. Ukiongea na headmaster enzi hizo Shelimo kaa mbali nae coz ana makofi ya kushitukiza ni balaa.
 
Kweli tumetoka mbali. Kwa ambao hawakupitia Pugu mtusamehe ila ki-ukweli fungus hadi kwenye makao makuu kwa ajili ya maji ya pondi. Ilikuwa vigumu kushindwa kumtofautisha mwanafunzi wa Pugu kati ya wanafunzi wengine maana wa Pugu utamkuta mkono moja unaminyaminya nyanya (makende) na kuzipapasapapasa. Kisa fungus. Usisahau na upupu wa pondi. Silaha imara ya kupambana na wanafunzi wa shule korofi. Maana nakumbuka tukiwafunga mabao wanaanza kuleta fujo hivyo silaha yetu ilikuwa kutumia upupu hadi kwenye magari yao. Ilikuwa ni sinema za bure wakianza kuwashwa na upupu. Samahani kwa yote lkn yote yalikuwa maisha ya shule.
hii kitu mliwafanyia tambaza? mm nilikuja kupata story baadae.....
 
Jamani nyie acheni tu! Kusoma pugu ni raha tupu! Ikifika ijumaa full ku-drop mapemaaaaa
 
Pugu boyz bwana,kuoga ilikua kazi hadi usikie unanata,kuwa kiranja wa ulinzi hadi uwe unabeba nondo ili uwashikishe adabu wezi,TV ya shule ipo ila cku Nampanda akiunganisha anachukua kingilio mlangoni. Ukiongea na headmaster enzi hizo Shelimo kaa mbali nae coz ana makofi ya kushitukiza ni balaa.

hahahahahaha usafi ni kazi ndio maana watu wanakenda na huu uchafu maofisi wanakuwa wezi sasa nchi imekwisha
 
hapo DH mkulu, miss U ooh PUGU
img_6608.jpg


hapa wapi?
hapo ni DH mkulu
 
Alipotoka chuo akawa anafundisha chemistry a-level,shallow mbaya,full kijisifu,mama pendo keshafariki wakuu kama mnamkumbuka,
Oh RIP, nakumbuka kuna dogo moja o- levo alikuwa anakamu.
Vipi white yupo, nazikumbuka mihogo yake.
 
Nakumbuka ulikuwa ukienda "BETO" unabaki na chupi tu, pafyumu full mkoko
 
mkuu wazee wa pond big up
labda cha kufurahisha mabagala alirudi shule akaenda chuo kikuu hope alimaliza salama
same to wasiwasi alirudi shule akawa pale mliman sijui al ipoishia maana siri za walimu wanazijua wenyewe
kwa mnaomkumbuka mabeg's alikuwa aanakukimbiza hata ukiwa uchi anasema mi nautaka kuuona huo unaoukimbiza una nini
ni one wa craizy dady hope bado ana survive na mambo ya elimu kama si prof nyingine


Mabagala kwa sasa yupo Pugu kama second master. Mimi nimemaliza pale mwaka 2008 yeye akiwa bado anasoma chuo huku akiwa anatutembelea mara kwa mara. Lakini tarehe 14/05/2011 nilipompeleka mdogo wangu hapo pugu nikamkuta MABAGALA ndo mkuu msaidizi.
 
nyoka alijiendeleza zamani sana atakuwa udsmhata juma mzee wa juu sidhani kana bado yuko hapo.ila pondi na fungus zile sio mchezo hahahaahaha hazina urembo zilehivi mama pendo mado hupo
mama pendo alikufa jamaa yangu
 
mkuu wazee wa pond big uplabda cha kufurahisha mabagala alirudi shule akaenda chuo kikuu hope alimaliza salamasame to wasiwasi alirudi shule akawa pale mliman sijui al ipoishia maana siri za walimu wanazijua wenyewekwa mnaomkumbuka mabeg's alikuwa aanakukimbiza hata ukiwa uchi anasema mi nautaka kuuona huo unaoukimbiza una nini ni one wa craizy dady hope bado ana survive na mambo ya elimu kama si prof nyingine
ma bags,alimaliza elimu yake now ni second master pale ana hiace & carina new model hana habari
 
Back
Top Bottom