Public officer kusalimia SALAAM ALEIKUM kwenye jukwaa la kiselikali!

Status
Not open for further replies.
  • In Arabia, the greeting is associated with shaking right hands and then possibly two or three light cheek to cheek kisses (only between the same gender).

  • In Afghanistan, the greeting is also associated with shaking right hands and is also often accompanied with a hug when meeting infrequently (only between the same gender).
  • In Iran, Salām is a simple greeting. This means Peace and Health, and is used similarly to "Hi" in English-speaking cultures.

  • In Pakistan and India, the greeting is accompanied by raising the right hand to the forehead (arz hai "regards").

  • In Indonesia, the greeting is usually accompanied with a kind of two-handed "handshake", whereby the shaker's palms remain closed, and the fingers alone open to admit the other's proffered hand- which briefly touches the proffered's fingers or fingertips alone. In this way more adherent males and females may greet though touching- but remain true to the Islamic or cultural teachings forbidding physical contact between the genders. Occasionally, the right-hand will touch the left-breast or heart area after this

  • In Turkey, many Turkish use this statement and hug each other; more secular and non-religious people say "Selam" as an equivalent to "Hello" or "Hi". This use has extended to the Internet with the abbreviated "slm" being commonly used amongst Turks on social networking websites.

  • In Javanese culture, a remnant of feudalism is retained, where an elder's proffered right hand is taken and pressed briefly against the forehead. Some may instead briefly kiss the hand or the main ring. This is very common for young children to greet older relatives (of their parents' age, though, on occasion, if very polite children, younger). As per Turkey, "slm" is commonly used by teens on SMS and the Internet.

  • In Amharic , the term "Selam" is used in place of "Tadias" which is the equivalent of "What's up". The word "Selam" has the same meaning in Amharic as in Arabic which is "peace".
In Tanzania, the word is used to seduce the muslim fellows to support some political agendas by some individuals..Either, some fellows use the word so as to assure themselves to remain employed in Offices!
 
Aleikhum salaam ndio muitikio sahihi...hiyo yako ni corrupt version....ni kiarabu tu na hata Wakristo waarabu hutumia salamu hiyohiyo...

Safari umetoa jibu safi kabisa. hiyo salamu ni ya lugha ya kiarabu siyo ya dini ya Kiislam. Hata waarabu ambao niwakristo wanasalimia hivyo hivyo
 
Kweli bana hata mi inaniboa hasa lile li Benjamin Mkapa likitaja hiyo salaam, .. halafu na Nyerere naye alikuwa ananiboa akivaa ile kofia baraghashia... kuendeleza udini tu!!
 
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, ANAITAMBUA DINI HIYO TU YENYE SALAMU, anawabagua watu wasio wa salamaleko? anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? au, mimi Ninayemwamini Yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....HUWA UNAWAELEWAJE?

kama kina Enock Bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....KWANINI TUSIWE SECULAR KWENYE MAMBO YA SELIKALI YA KISECULAR? utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "Bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?
Najua moderator hataitoa kwa sababu zinazojulikana, lakini mtu kumsalimu kwa kiarabu chenye tafsiri sisisi 'amani iwe juu yako' na anayejibu 'na iwe kwako pia' ni udini kwa wenye akili za mgando!! Kinachoshangaza zaidi ni upofu wa watu wenye fikra mgando kama hizo wanashindwa kustuka ama kuhoji wanapoona katika ofisi za Umma katika secular government inapambwa kwa mti wa mkrismass kila mwishoni mwa desemba, huku akijua kuwa ofisi hiyo si kigango ama usharika, na kwa fikra zake hawafikiri wenye dini tofauti wanawafikiriaje!.
Kutekeleza mambo ya kikristo katika ofisi za umma si udini, bali udini ni kuzungumza ama kufanya jambo lenye mwelekeo wa uislamu!! Kazi kubwa bado tunayo katika kuyeyesha watu wenye fikra dhoofu kama hizo kwa ajili ya afya na mustakabali murua wa taifa letu. Mungu Ibariki Tanzania
 
thanks.jpg
 
Sihitaji kudanganya mtu ila ndio ukweli wenyewe...mimi ni mkristo na nimetembelea holy land yote na nimekutana na Wakristo wa huko ambao ni waarabu...wanaendesha misa kiarabu....na askofu alitusalimia na hiyohiyo asalaam aleikhum...shida ni kuwa watu mnachanganya uarabu na uislamu ambavyo ni vitu tofauti sana....na mtu hazuiwi namna ya kusalimia na wewe hushurutishwi kuitikia.

we huoni anatubagua wale ambao si waarabu?official languages in Tz ni english and swahili,hawa jamaa tukiwaachia kuna siku watatusalimia kinyakyusa.
 
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, ANAITAMBUA DINI HIYO TU YENYE SALAMU, anawabagua watu wasio wa salamaleko? anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? au, mimi Ninayemwamini Yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....HUWA UNAWAELEWAJE?

kama kina Enock Bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....KWANINI TUSIWE SECULAR KWENYE MAMBO YA SELIKALI YA KISECULAR? utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "Bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?

hii mada umeitoa ktk jukwaa la dini, ukaibadilisha kidogo na kuileta huku, kama huna cha kuposti acha si lazima ukiwa member wa jf na wewe ubandike mithreads hata ya upuuzi kama hii
 
Asalaam aleykum wana JF.

Hii thread ndiyo tafsiri iliyo sahihi kabisa ya udini uliochanganyika na ujinga.
 
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, ANAITAMBUA DINI HIYO TU YENYE SALAMU, anawabagua watu wasio wa salamaleko? anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? au, mimi Ninayemwamini Yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....HUWA UNAWAELEWAJE?

kama kina Enock Bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....KWANINI TUSIWE SECULAR KWENYE MAMBO YA SELIKALI YA KISECULAR? utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "Bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?

KWANGU SIYO ISHU. IT IS JUST FINE. punguzeni misimamo hatutafika. AU NDO WATU WAMESHAANZA KUWAVURUGA NA MKIWA VULULU VULULU WACHOTE URENIUM BURE?
 
kwanini hawasemi Bwana asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo...wanataka tu watu tuitikie ...alei ku muislam...muislam hiyo ya mwisho ni nini kama si udini?

Jamani si aleikhum muislam!! MUWE WAANGALIFU NA VITU MSIVYOVIJUA. JIFUNZE KIARABU KWANZA THEN UANZE KUHOJI. SI WEWE TU. HATA BAADHI YA WAISLAM UKIWASALIMIA WANAKUJIBU ALEIKHU MUISLAM. NI ALEIKHUM SALAAM OR ALEIKH ALEKHA ALEIKHUNA ALEIKHUMA NK. INATEGEMEA WAMSALIMIA NANI NI WA KIKE, KIUME, MMOJA, WAWILI NK. NI MAANA ILE ILE YA UPANDE WA PILI KUWATAKIA AMANI YA BWANA IWE NANYI AU VINGINEVYO.
 
Asiyejua, next time you hear. Salam Alaykum..........reply by Alaykum Salam, end of the war.
 
Asiyejua, next time you hear. Salam Alaykum..........reply by Walaykum Salam, end of the war.

Jamani si aleikhum muislam!! MUWE WAANGALIFU NA VITU MSIVYOVIJUA. JIFUNZE KIARABU KWANZA THEN UANZE KUHOJI. SI WEWE TU. HATA BAADHI YA WAISLAM UKIWASALIMIA WANAKUJIBU ALEIKHU MUISLAM. NI ALEIKHUM SALAAM OR ALEIKH ALEKHA ALEIKHUNA ALEIKHUMA NK. INATEGEMEA WAMSALIMIA NANI NI WA KIKE, KIUME, MMOJA, WAWILI NK. NI MAANA ILE ILE YA UPANDE WA PILI KUWATAKIA AMANI YA BWANA IWE NANYI AU VINGINEVYO.

True, however rightly speaking hata huyo kiongozi muislam kakosea, that greeting is meant for MUSLIMS only hence should not be used for non-muslims.
 
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, ANAITAMBUA DINI HIYO TU YENYE SALAMU, anawabagua watu wasio wa salamaleko? anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? au, mimi Ninayemwamini Yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....HUWA UNAWAELEWAJE?

kama kina Enock Bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....KWANINI TUSIWE SECULAR KWENYE MAMBO YA SELIKALI YA KISECULAR? utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "Bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?

Duu unaogopa Uislam to that extent!!! hiyo ni lugha ya Kiarabu tuu!! "Aleykumsalaam" means Aman iwe juu yako hakuna sehem inapotajwa Uislam, Inaonesha bado unatongotongo za chuki kiasi cha kushindwa kutofautisha Lugha na Dini, we unafikiri Wakristo wa Arabuni wanasalimiana KIMATUMBI AU KIDIGO, Kwako misa ikisomwa kiarabu unaweza kutapika kwa kichefuchefu,
pole sana usichukie" ASSALAAM ALEYKUM" mchukie aliekunyima Elimu ya kutofautisha LUGHA NA dini
 
unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, anaitambua dini hiyo tu yenye salamu, anawabagua watu wasio wa salamaleko? Anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? Au, mimi ninayemwamini yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....huwa unawaelewaje?

Kama kina enock bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....kwanini tusiwe secular kwenye mambo ya selikali ya kisecular? Utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?

Hivi akija Baba Askofu Abuu karim au Abadir Baraka Bin Abuu Sufiyaan toka Misri au Syria kuzuru na kuhutubia kanisani Tanzania na kuanza misa au hotuba kwa kusema assalaam aleykum! unamaana wakristo watakasirika kwa kusalimiwa hivyo?

Ama viongozi wa serikali kuitumia salamu hiyo kwa mtaji wa kisiasa hilo halina pingamizi! Ndio maana Mkapa alipokuwa akihutubia maeneo wanamoishi waislamu wengi hasa dar-es-salaam na ukanda wote wa pwani alikuwa akisalimia salam kama hiyo na akigundua kuwa mkutano wake umehudhuriwa na vijana wengi basi alikuwa akisema mamboooo!!!! na kizazi kipya kuitikia waaaa!!!

hata Mwalimu Nyerere alikuwa akivaa kofia inayopendwa sana na Waislamu wakati akihudhuria sherehe za maulidi au akihutubia ktk maeneo ya waislamu wengi na akiingia kanisani huwa haivai na huwa mtiifu sana kwa maaskofu!! Wakati huo huo anapokuwa kijijini kwake alikuwa akishirikiana na viongozi wa jadi wenye kuabudu mizimu na ndio maana hata ktk mazishi yake yalifanyika kikatoliki na kijadi!!!

Lyatonga Mrema baada ya kukosana na Waislamu akiwa waziri wa mambo ya ndani, aliona atumie ujanja wa kuvaa kibarakashehe na kugharamikia mkutano wa bakwata uliofanyika mwaka 1993 ili kurudisha uhusiano nao!!
Hiyo ni janja za wanasiasa hutumia salamu aleykum na hata ktk mikutano yao wanapogundua watu wanamchanganyiko wa dini ya kiislamu na kikristo hutumia salamu 3 ya asalam aleykum, bwana asifiwe na tumsifu bwana yesu!! Na sababu za kutumia bwana asifiwe ni ili kuwavutia walokole ambao huitumia sana salamu hii huku wakristo wengine wakivutiwa na tumsifu bwana yesu!!!

Hawa viongozi huwa wana tumia salamu hizi kisiasa zaidi na wala hakuna uwezekano wowote wa kuwafanya watu wabadilishe dini zao kwa ajili ya salamu tu!!! Mtu anaeamini kuwa mtu akisalimiwa salaam aleykum basi atasilimu! Bilashaka ataamini kuwa ukila tende basi umeshakuwa muislamu!!!! Ufinyu ulioje huu!!

Nadhani salamu haina tatizo lolote ila tatizo lipo pale ofisi za serikali zinapotumia fedha za walipa kodi kununulia zawadi, pombe na kupamba kwa maua ofisi za serikali wakati wa sherehe za krismasi!!! Lakini waislamu wakiomba serikali igharimikie mahakama za kadhi huo ni udini!!!! Na sasa imekuja mpya kabisa kuwa kiongozi wa serikali akisalimia salam aleykum basi ni mdini!!!!
 
Hata mbunge wa zamani wa Tarime kupitia CHADEMA-Charles Mwera, alipojitoa na kwenda CUF katika press conference yake ya kwanza alisalimia kwa asalaam alekuum, na CUF hawakulalamika???
 
Sihitaji kudanganya mtu ila ndio ukweli wenyewe...mimi ni mkristo na nimetembelea holy land yote na nimekutana na Wakristo wa huko ambao ni waarabu...wanaendesha misa kiarabu....na askofu alitusalimia na hiyohiyo asalaam aleikhum...shida ni kuwa watu mnachanganya uarabu na uislamu ambavyo ni vitu tofauti sana....na mtu hazuiwi namna ya kusalimia na wewe hushurutishwi kuitikia.

Ni kweli mkubwa. Kama sikosei (I stand to be corrected) maana ya "Asalaam Aleikhum" (Kiarabu) kwa Kiswahili ni "amani/salama iwe kwenu" na mtu anapojibu "Waaleikhum salaam" maana yake ni "amani iwe kwako pia" Hicho ni Kiarabu ambayo ni lugha kama nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom