Public officer kusalimia SALAAM ALEIKUM kwenye jukwaa la kiselikali!

Status
Not open for further replies.
Kwa mimi ninavyoelewa maana ya asalam aleykum ni kama heri iwe juu yenu, na kiitikio chake ni iwe juu yako pia. Kwa hiyo hii salam sio shida lakini si tuna kiswahili chetu jamani, kwani uwabariki au uwasabahi watu kwa kiarabu au kiingereza!! Its boaring!

Ah,kwani kuna tatizo?it meanz AMANI IWE NAWE,so sema labda imekaririwa kuwa ni kiarabu,na kiarabu kinafungamana na uislam,bt ASALAM ALEYKUM DAZ NT PROMOT UISLAM,UISLAM HAZ OLREADY PROMOD
 
Najua moderator hataitoa kwa sababu zinazojulikana, lakini mtu kumsalimu kwa kiarabu chenye tafsiri sisisi 'amani iwe juu yako' na anayejibu 'na iwe kwako pia' ni udini kwa wenye akili za mgando!! Kinachoshangaza zaidi ni upofu wa watu wenye fikra mgando kama hizo wanashindwa kustuka ama kuhoji wanapoona katika ofisi za Umma katika secular government inapambwa kwa mti wa mkrismass kila mwishoni mwa desemba, huku akijua kuwa ofisi hiyo si kigango ama usharika, na kwa fikra zake hawafikiri wenye dini tofauti wanawafikiriaje!.
Kutekeleza mambo ya kikristo katika ofisi za umma si udini, bali udini ni kuzungumza ama kufanya jambo lenye mwelekeo wa uislamu!! Kazi kubwa bado tunayo katika kuyeyesha watu wenye fikra dhoofu kama hizo kwa ajili ya afya na mustakabali murua wa taifa letu. Mungu Ibariki Tanzania

Kupambwa kwa mti wa krismass na taa zake airport yote haikuwa tatizo, lakini salamu ni tatizo! Kazi ipo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom