PSPF towers: The Pride of Tanzania

Ya... hapo RED you're very right... sasa tunaweza kwenda sambamba coz' in most cases, hata kwenye mezzanine na first floor, nyingi zinakuwa in terms of halls... reserved for business like restaurants or maofisi makubwa yanayohitahitaji kuwa na reserved lounge/lobby for incoming guests.

yes lakini zinakuwa charged at $35per sqm huko floors kuanzia nne kwenda juu unapata hadi $18per sqm...kampuni nyingi sasa hivi hawapendi ofisi mjini,wana prefer nje ya mji especially masaki,mikocheni
 
Nakubaliana na wewe... maelezo yako yanaleta sense kwani ni kweli vile vile hivi sasa kuna kampuni nyingi tu zina ofisi nje ya mji hususani Oysterbay, Mikocheni na Masaki.
 
hit like kama ungependa serikali iupgrade junctions za ubungo na tazara kuwa modern traffic interchanges kama hizi za nairobi;
ngong+road.jpg
 
Unajua pamoja na uzuri wake hili jengo halina parking ya kutosha? Kulikua na plan ya kuwapatia TRA one tower ili wabadilishane na jengo la TRA just opposite waweze kujenga parking. What a poor planning?
 
It is so absurd that people from a country that is so economically backward can have so much pride in just having the tallest building in East, Central and North Africa! Across the border, in Nairobi, plans are underway to erect buildings with more than 50 floors, yet, despite all these, Kenyans are not even bothered. They've seen enough tall buildings and have realized that they mean nothing if they don't put food on the table! Wacheni kuwa nyuma hivyo watu wa Tanzania!
 
Toa ujinga wako wewe mkikuyu
 
Ni ukweli mtupu na nina ndugu zangu wanahangaikia Mirathi ni mwaka unaisha sasa na kila kitu kipo tayari,issue kuandika cheki ndo wanazungusha vibaya lakini wanajenga majengo kwa pesa za michango,ila inapofika mwenye michango apewe wanakua watata na ningefahamu namna ya hata kufile kesi na hawa jamaaa ingefanyika hivyo maana imekua kama kawaida kuonea wanyonge.
 
nyumba yenyewe haina nafasi,magari yanapita pale pale..ile nyumbani na hata ile ya bandari ni hatari
 
Ilijengwa ili kuvunja rekodi ya urefu au kutengeneza faida kwa PSPF na wanachama wake?
 
PSPF+TOWERS.jpg

Did you guys know that the recently unveiled PSPF towers is the tallest building in East, Central and North Africa and the fourth tallest in all of Africa (at the time of writing this article)! Isn't that incredible?!

Times tower in Nairobi, which once held the crown for tallest building in East Africa, stands at a height of 140m, a whole 12 metres shorter than the PSPF towers.

We should be proud of ourselves, while it lasts. Britam of Kenya is already putting up a 190+ metres structure in Nairobi!

Is this really s thing to be 'pride' of as a nation?!
 
It is so absurd that people from a country that is so economically backward can have so much pride in just having the tallest building in East, Central and North Africa! Across the border, in Nairobi, plans are underway to erect buildings with more than 50 floors, yet, despite all these, Kenyans are not even bothered. They've seen enough tall buildings and have realized that they mean nothing if they don't put food on the table! Wacheni kuwa nyuma hivyo watu wa Tanzania!
Economically backwards ni nyie wakenya mnaokufa njaa kila siku.
Tell me, hapo ulipo umekula kweli?
Salimia ndugu zako wakamba na uwaambie waache kula mavi yao kuna chakula cha kutosha TZ!
 
So what? What has it to do with poverty eradication of it's members. Having a tallest building in East and Central while it's citizens are extremely poor in East and Central? What is the incense. I am personally a member of this rubbish PSPF who have been chasing my house loan for six months to date without availing any, what can you tell me!

well said, there is no way we can be proud for something helpless to common mwananchi except for few minority. watanzania hatudanganyiki tena na sifa za kijinga. the same people were proposing reducing ter
minal benefits to their members, i guess due to current political situation they decided to postpone to end up election but later watarudi na maujinga yao
 
Hebu Tuangalie Huu uwekezaji kati ya majengo na hati fungani kwa faida ya wanachama
Uwekezaji kwenye majengo (Real Estates) Uwekezaji kwenye Hati Fungani (T/Bonds)
MaelezoGharama Billion MaelezoGharama Billion
Gharama za Ujenzi wa jengo140 Gharama ya kununua hati fungani140
Mapato yatokanayo na kodi kwa mwezi2 Asilimia ya riba hati fungani ya miaka 15 13.50%
Gharama za uendeshaji jengo kwa mwezi1 Mapato kwa mwezi -
Faida kwa mwezi1 Faida kwa mwaka18.9
Faida kwa mwaka12 Muda wa uwekezaji kwa miaka15
Muda wa uwekezaji kwa miaka15 Jumla ya Faida kwa miaka 15283.5
Faida kwa miaka 15180 Malipo ya Hati fungani mwishoni mwa uwekezaji140
Jumla ya mapato kwa miaka 15 itakuwa180 Jumla ya Mapato yote kwa miaka 15423.5
Nyongeza kama ukiwekeza kwenye Hati Fungani243.5
 
Back
Top Bottom